Monday, January 30, 2017

SIMU TV: Habari kutoka televisheni

SIMU.TV: Naibu waziri wa nishati na madni nchini amemuagiza kamishna wa madini nchini kumrudisha aliyekua afisa madini mkoa wa geita Fabian Mshai ili kujibu baadhi ya hoja za ukaguzi wa mgodi wa RZ. https://youtu.be/gD3YnuQF5Cc

SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa wakati sasa umefika wa kuwa na watumishi wenye weledi katika halmashauri zote nchini. https://youtu.be/lXQyVGZNXWg

SIMU.TV: Serikali wilayani Ngorongoro mkoani Arusha imeadhimisha miaka 40 tangu kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM kwa kuzindua ujenzi wa kituo kikubwa cha polisi. https://youtu.be/d_L30m-9jzo

SIMU.TV: Watafiti wa mazao ya GMO wameiomba serikali kupitisha sera ya utumiaji wa mbegu za GMO ili kukabiliana na ukame maeneo mbalimbali nchini. https://youtu.be/FRIKf0-wFqQ

SIMU.TV: Mbunge wa jimbo la Rungwe ametoa msaada wa mifuko mia tatu ya Saruji kuunga mkono ujenzi wa zahanati katika kata ya Lufingo. https://youtu.be/xRfGe-_P60I

SIMU.TV: Serikali imewataka wabunge kuwa mstari wa mbele katika kuwaelimisha wananchi kushiriki kamilifu shughuli za uchumi na uwekezaji. https://youtu.be/ZnLgCQs57Ws

SIMU.TV: Serikali ya mapinduzi Zanzibar imewahakikishia soko la uhakika wakulima wa mpunga mkoani Simiyu na kuwataka kuzalisha kwa wingi zaidi. https://youtu.be/dA1XL3eNqpg

SIMU.TV: Ikiwa imesalia siku moja ya kuhakiki namba ya mlipa kodi kama ilivyoelekezwa na mamlaka ya mapato TRA vituo kwa leo vimeonekana kuelewa kutokana na wingi wa watu. https://youtu.be/rss8uxjT1OI

SIMU.TV: Salamu za rambi rambi zimeendelea kumiminika kutoka kwa familia mbalimbali za michezo nchini kufuatia kifo cha golikipa wa timu ya Kagera Sugar David Burhan. https://youtu.be/nC7WV2V8848

SIMU.TV: Klabu mabingwa ya Afrika Mamelody Sundown imewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kimichezo ambapo wanatarajiwa kucheza na timu za Simba na Azam Fc. https://youtu.be/P4sr5X-pibk

SIMU.TV: Mashabiki na wachezaji wa timu ya Majimaji Fc ya mkoani Ruvuma wameondoka mkoani Mtwara wakiwa na furaha baada ya kuifunga Ndanda Fc. https://youtu.be/yweNtMMmr68

No comments: