Kaimu
Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Alipo tembezwa na Mkuu wa Wilaya ya
Kyelwa Kuona Athari zilizo tokana na Mvua ya Mawe Zilizo Wakumba
Wananchi wa kijiji Kangenyi Kata ya Kieluwa Wilayani Kyelwa
Mhandisi
wa Maji wilaya Misenyi ABdallah Gendaheka wa tatu kutoka kushoto akitoa
maelezo mbele ya kaimu katibu mkuu wa UVCCM na msafara wake
walipoutembelea mradi huo wa maji ambao kati ya vituo 15 ni vituo vi8tu
vinavyotoa na saba kwa mwaka mmoja na miezi miwili sasa vimeharibik
Kaimu
Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipata maelezo toka kwa Afisa
Mfawidhi wa Mpaka wa Mutukula Bw.Samwel Mori wilayani Misenyi Mkoani
Kagera alipotembelea katika mpaka huo kuangalia shughuli za kihuduma
katika mpaka huo.
Mapokezi ya Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipo Wasili Bukoba Mjini
Watendaji
na wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Manispa ya mji wa Bukoba
wakimsikiliza Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka
alipotembelea Manispaa hiyo
Mwenyekiti
wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndg:Yahya kateme wa tatu toka kushoto
alipoingia na mgeni wake Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka wa
pili kushoto katika kiwanda cha uzalishaji maji safi Bunena Spring
Water katika manispaa ya mji wa bukoba wa nne kulia ni mwenyekiti wa
UVCCM wilaya ya bukoba mjini Ashraf kazinja
Katibu
wa UVCCM Mkoa wa Kagera Dismas Zimbihire wa kwanza kulia akiongoza
msafara na kumfikisha Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka
katika eneo la uzakishaji Maji na ufungaji wa chupa katika kiwanda
cha Bunena Spring Water kilichopo katika manispaa ya mji wa bukoba.
Makundi
ya Vijana wajasiriamali wakiwemo Mamalishe,bodaboda,na machinga
walipompokea kwa shangwe na hoihoi Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka
alipokwenda kuwatembelea katika soko la machinjioni kwenye manispaa ya
mji wa bukoba.
Kaimu
katibu wa Idara ya Hamasa,Sera,Utafiti na Mawasiliana UVCCM Mtemi
Slyvester yaredi akizungumza na makundi ya wajasiriamali katika manispaa
ya mji wa bukoba kabla ya kumkaribisha Kaimu katibu mkuu UVCCM
”Nimefarijika
saana na ziara ya mkoa wa Kagera,nimefurahi kuwakuta viongozi wa
chama,Serikali kuu na Halmashauri za wilaya wakifanya kazi bega kwa bega
kwa lengo la kuhudumia wananchi na kutekeleza matakwa ya sera za CCM
zilizoainishwa katika ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020”Shaka
alimueleza mkuu wa mkoa wa Kagera Meja jenerali Salum kijuu
alipomtembelea ofisini kwake
”Nimekua
nikifuatilia ziara zenu kwa karibu sana,nimeridhika na uibuwaji wenu wa
maswala yenye manfaa,kuzindua miradi ya kimaendeleo lakini pia
kuzungumza na wanachama wenu katika vikao vya ndani vya
kisiasa.Changamoto mlizoziona serikali itaendelea kuzifanyia kazi na
kupata utatuzi,tutasiliba na kuziba mianyayote inayopitisha wahamiaji
haramu na kukomesha vitendo vya uhalifu,hatutashindwa kwa jambo
lolote”Meja jenerali Kijuu alimueleza kaimu katibu mkuu UVCCM
No comments:
Post a Comment