Friday, December 9, 2016

YALIYOJIRI LEO KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 55 YA UHURU

SIMU.tv: Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiendelea kuingia katika uwanja wa uhuru katika kuadhimisha miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara; https://youtu.be/3yTtIu_tL9Y

SIMU.tv: Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt.Shein akiwasili ndani ya uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/MkXWlaz9MLw

SIMU.tv: Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu akiwasili katika uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam miaka 55 ya uhuru wa Tanzania bara; https://youtu.be/tVyenaYhzEo?t=1

SIMU.tv: Rais John Magufuli akiwasili katika uwanja wa Uhuru jijini Dar e Salaam katika kuadhimisha miaka 55 ya uhuru wa Tanzania bara https://youtu.be/BcJdk-tgysg

SIMU.tv:  Rais John Pombe Magufuli  akikagua gwaride  wakati wa maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara; https://youtu.be/4LFEJSMKuQo

SIMU.tv: Kikosi cha bendera ,kikosi cha wanamaji, JKT na kikosi cha nchi kavu  vikipita mbele ya Rais John Magufuli kwa ajili ya kutoa heshima; https://youtu.be/3aS9shxEegA

SIMU.tv: Gwaride la mwendo wa kasi likipita kutoa heshima kwa Rais John Magufuli wakati wa kuadhimisha miaka 55 ya uhuru wa Tanganyika hii leo; https://youtu.be/HMbPxdksoQQ

SIMU.tv: Vikosi cha jeshi la maji , kundi maalum la komando wa jeshi la nchi kavu vikipita mbele ya Rais Magufuli miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika; https://youtu.be/HTNqLZWq6tU

SIMU.tv: Kikundi cha Makomando wa JWTZ wakionesha umahili wao mbele ya Rais John Magufuli miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika hii leo; https://youtu.be/UPnf__ZdhPM?t=1

SIMU.tv: Mtazame Komando wa Jeshi la wananchi JWTZ akionesha ujasiri kwa kulalia misumali yenye ncha kali miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika; https://youtu.be/k5v1ydY-exY

SIMU.tv: Kikosi cha Kwata la kimya kimya wakionesha uwezo wao wa kupiga kwata wakati wa miaka 55 ya uhuru wa Tanganyika hii leo. https://youtu.be/WJwAx7gGD1w?t=1

SIMU.tv: Rais John Magufuli akizungumzia serikali ya awamu ya tano inavyokusudia kuliboresha shirika la ndege la ATCL miaka 55 ya uhuru wa Tanganyika; https://youtu.be/ruyLdkP23BA

No comments: