Sunday, December 25, 2016

Yaliyojiri Katika Vituo Mbalimbali vya Televisheni LEO December 25, 2016.

SIMU TV: Waumini wa dini ya Kikristo nchini wanaungana na waumini wenzao dunia kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Yesu kristo; https://youtu.be/Rti2BZctTf4

SIMU TV:  Mkuu wa mkoa wa Morogoro Steven Kebwe amefuta mapumziko ya Krismas na Mwaka mpya kwa watumishi wa Idara ya afya Kilosa ; https://youtu.be/bzqwL5XjDq4

SIMU TV:  Wazee wasiojiweza jijini Tanga wameiomba serikali kuangalia upya huduma za matibabu katika hospitali ya mkoa ya Bombo; https://youtu.be/LdNcb1VgoT8

SIMU TV:  Mradi wa ujenzi wa nyumba ya mkuu wa wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe umesimama baada ya mkandarasi kukosa fedha; https://youtu.be/eiLld2887HQ

SIMU TV:  Timu ya soka ya Simba imeendelea kujikita kileleni baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya JKT Ruvu kwa goli moja kwa bila ; https://youtu.be/46LHdxcJrl4

SIMU TV:  Taasisi na makampuni binafsi yamehimizwa kujitolea kusaidia watoto katika kipindi hiki cha sikukuu ili waweze kufurahia kama watoto wengine; https://youtu.be/NmdQhD4fHIM

SIMU TV:  Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kutaka kuchoma moto nyumba ya mwalimu mkuu; https://youtu.be/p7zq8eO5gmk

SIMU TV:  Shirika la kutetea haki za wanawake la Kivulini limekabidhi hundi ya shilingi milioni 248 kwa lengo la kupunguza ukatili wa kijinsia Mwanza; https://youtu.be/UcApINq_Pto

SIMU TV:  Rais Dkt John Magufuli ataungana na waumini wa kikristo nchini na duniani kote kuadhimisha Krismas akiwa mkoani Singida ; https://youtu.be/qNOj_ViI6e0

SIMU TV:  Mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego amemuapisha mkuu wa wilaya mpya wa Mtwara pamoja na wajumbe wanne wa baraza la ardhi; https://youtu.be/5Kel2Ym2gBA

SIMU TV:  Uongozi wa Ndanda Fc umeitaka TFF kutenda haki katika sakata lake na klabu ya Simba kuchezesha wachezaji wasio na vibali; https://youtu.be/2dCRKLV3TFc

SIMU TV:  Waumini wa kikristo visiwani Zanzibar wameungana na waumini wa dini hiyo duniani kote kuadhimisha sikukuu ya Krismas; https://youtu.be/jF1Mm3GBgdc

SIMU TV:  Makamu wa Rais Samia Suluhu amewataka viongozi wa CCM visiwani Zanzibar kuongeza mshikamano ili kukijenga chama hicho ; https://youtu.be/PIKlxWGWq_U

No comments: