Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akitoa Ufafanuzi wakati alipokuwa akieleza namna ya kuitambua mitandao ya Kijamii pamoja na uanzishaji wa Tuzo kwa Waendeshaji mitandao hiyo.
Waziri Nape alisema kuwa lengo la tuzo hizo ni kuzisaidia blogs za Tanzania kubobea katika nyanja tofauti ikiwemo kilimo, mifugo, viwanda, hifadhi ya jamii kwa nia ya kuipa heshima tasnia ya habari nchini.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akitoa Ufafanuzi wakati alipokuwa akieleza namna ya kuitambua mitandao ya Kijamii pamoja na uanzishaji wa Tuzo kwa Waendeshaji mitandao hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Adam Mayingu akiongea wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na semina ya wanachama wa umoja wa waendeshaji wa blog nchini.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akipata Selfie na bloggers baada ya kufunga mkutano wao

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akibadilishana mawazona na baadhi ya bloggers baada ya kufunga mkutano wao
Ankal akipata Selfie na bloggers wnzie baada ya Mkutano Mkuu wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na semina ya wanachama wa umoja wa waendeshaji wa blog nchini.
Selfie baada ya kufungwa kwa Mkutano Mkuu wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na semina ya wanachama wa umoja wa waendeshaji wa blog nchini.
Mjumbe wa TBN kutoka Zanzibar Othman Maulidi aka Othman Mapara akichangia
Ankal akiwa na bloggers toka Mbeya
No comments:
Post a Comment