Anna Sangai (mbele) programu programu kutoka TGNP Mtandao akiwasilisha
mada katika mkutano na wananchi wa Kata za Kipunguni, Kivule na Mzinga
zote za jijini Dar es Salaam kutoa elimu juu ya namna ya kukabiliana na
vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo vile vya ukeketaji ambavyo
vimekuwa vikifanywa na baadhi ya jamii maeneo hayo
Anna Sangai (kulia) programu programu kutoka TGNP Mtandao akiwasilisha

vimekuwa vikifanywa na baadhi ya jamii maeneo hayo.
Muwasilishaji wa mada, Bi. Agnes Lukanga (kulia mbele) kutoka TGNP
Mtandao akizungumza katika mkutano wa wananchi wa Kata za Kipunguni,
Kivule na Mzinga zote za jijini Dar es Salaam kutoa elimu juu ya namna
ya kukabiliana na vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo vile vya
ukeketaji ambavyo vimekuwa vikifanywa na baadhi ya jamii maeneo hayo.
Mmoja wa viongozi wa Dini, Issa Abdullah (mbele) akijadili jambo katika
mkutano wa kutoa elimu kwa wananchi kukabiliana na vitendo vya ukatili
wa kijinsia vikiwemo vile vya ukeketaji. Mkutano huo ulifanyika katika
Kata za Kipunguni, Kivule na Mzinga zote za jijini Dar es Salaam
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Kipunguni, Hija Mzome (mbele-kulia)
akiwasisitisha washiriki wa mkutano huo kukubali kubadilika na kuachana
na vitendo vya kikatili vilivyopitwa na wakati hasa ukeketaji.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano wa kutoa elimu kwa wananchi
kukabiliana na vitendo vya ukatili wa kijinsia vikiwemo vile vya
ukeketaji. Mkutano huo ulifanyika katika Kata za Kipunguni, Kivule na
Mzinga zote za jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Shina namba Saba Majohe, Mohamed Kassim (mbele) akichangia
jambo katika mkutano huo wa kutoa elimu kwa wananchi kukabiliana na
vitendo vya ukatili wa kijinsia vikiwemo vile vya ukeketaji. Mkutano huo
ulifanyika katika Kata za Kipunguni, Kivule na Mzinga zote za jijini
Dar es Salaam
Mmoja wa washiriki wa mkutano huo akichangia katika mkutano wa kutoa
elimu kwa wananchi kukabiliana na vitendo vya ukatili wa kijinsia
vikiwemo vile vya ukeketaji. Mkutano huo ulifanyika katika Kata za
Kipunguni, Kivule na Mzinga zote za jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment