Sunday, December 25, 2016

USIKU WA ZUBEIR IMANI NA ZAWADI MOHAMED WAFANA

  Bw. Harusi Zubeir Imani na mkewe, Bi. Zawadi Mohamed wakiyarudi magoma wakati walipokuwa wakiingia ukumbini katika tafrija maalum ya kuwapongeza kwa kuungana kwao, iliyofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro uliopo Viwanja vya Sabasaba, Jijini Dar es salaam jana Desemba 24, 2016.
 Bw. Harusi Zubeir Imani na mkewe, Bi. Zawadi Mohamed wakiyarudi magoma.
 Maharisi wakiingia ukumbini.
 Mama Mkubwa wa Bwana Harusi akizingumza machache baada ya dua ya ufunguzi wa shughuli hiyo.
 Maharusi wakifungua muziki huku wakiwa wamezungumwa na wapambe wao.
 Bw. Harusi Zubeir Imani na mkewe, Bi. Zawadi Mohamed wakikata keki huku wapambe wao wakishuhudia tukio hilo.
 Maharusi wakilishana keki kwa mtindo wao.


1 comment:

Madenge said...

سبحان الله !