Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM,
kilichofanyika leo mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana, na Kushoto ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein.
Mweyekiti wa CCM, Rais John Magufuli akiwa tayari kuongoza kikao hicho
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk John Magufuli akiwa na baadhi ya viongozi kabla ya
kikaokuanza. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Kushoto, Waziri Mkuu Majaliwa
Kassim Majaliwa, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti
wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Dk Magufuli kufungua kikao
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Dk Magufuli kufungua kikao
Mwenyekiti
wa CCM, Dk John Magufuli akimsalimia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,
Rais wa Zanzibar, Dk Shein, alipowasili ukumbini
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Vuai Ali Vuai, akimsalimia Makamu Mwenyekiti
wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein walipokutana ukumbini
kwenye kikao cha kamati kuu ya CCM kilichofanyika leo jijini Dar es
Salaam.
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,
Jerry Silaa, alipowasili ukumbini kwenye kikao cha kamati kuu ya CCM,
kilichofanyika mjini Dar es Salaam, leo.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,
Dk. Salimu Ahmed Salim alipowasili kwa ajili ya kushiriki kikao cha
kamati kuu ya CCM, kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM,
Rais wa zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein alipowasili kwenye kikao cha
Kamati kuu ya CCM, kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais
Dk. John Magufuli, alipowasili kuendesha Kikao Cha Kamati cha Kamati Kuu
ya CCM, leo mjini Dar es Salaam. PICHA: BASHIRI NKOROMO
No comments:
Post a Comment