Tuesday, November 22, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Waziri wa Elimu Prof Ndalichako amewataka wakuu wa shule na bodi kuhakikisha wanawachukulia hatua stahiki wanafunzi watovu wa nidhamu; https://youtu.be/sgGPIr18uLs

SIMU.TV: Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania Dr John Magufuli leo amemuapisha kamshina wa polisi Diwani Athumani kuwa katibu tawala mkoa wa Kagera; https://youtu.be/_6qWAu_kZiI

SIMU.TV: Kongamano Kuu la wahitimu wa vyuo vikuu na wadau mbalimbali wa masuala ya ajira linatarajia kufanyika wiki hii jijini Dar Es salaam; https://youtu.be/xYlj3lDu-lw

SIMU.TV: Mkurugenzi wa halmashauri ya Kahama mkoani Shinyanga amewasimamisha kazi watumishi watatu wa idara ya mazingira kwa uzembe; https://youtu.be/Dezr1wB0ekI

SIMU.TV: Serikali imetoa muda wa wiki moja kwa halmashauri ya Kishapu kutoa taarifa sahihi za ukosefu wa chakula kwa wananchi wa wilaya hiyo; https://youtu.be/LKnZDidx6rA

SIMU.TV: Serikali imetoa msisitizo wa kushirikishwa kwa wananchi wanaoishi maeneo ambayo uwekezaji unafanyika ili kuwanufaisha kiuchumi; https://youtu.be/WE18wvBe7lk

SIMU.TV: Kampeni ya kuwahamasisha wafanyabiashara kurasimisha biashara zao imesaidia kupatikana kwa elimu kwa wafanyabiashara wengi; https://youtu.be/mofxgInQGqA

SIMU.TV: Wakulima wa zao la mpunga mkoani Moshi wameiomba serikali kuwatafutia soko la uhakika ili waweze kuuza mchele wao kwa bei ya faida; https://youtu.be/1pyIVs1ASlU

SIMU.TV: Serikali imesema kuwa iko kwa lengo la kutengeneza mazingira salama na amani katika soka na sio kukandamiza sekta ya michezo nchini; https://youtu.be/msmmQ-rqNO4

SIMU.TV: Ligi ya vijana Tanzania bara imeendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali hii leo, haya hapa ni matokeo kwa michezo iliyochezwa siku ya leo; https://youtu.be/iP-RS3p2kvY

SIMU.TV: Tanzania ikiwa safarini kukuza soka la vijana nchini, wadau wa michezo wameombwa kuwekeza kwa vijana kutokea ngazi za chini; https://youtu.be/V_r3-_uxCaA

SIMU.TV: Meneja wa klabu ya Leceister City Claudio Ranieri amesema timu yake ina matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya;  https://youtu.be/EC8X6rl4Oqw

No comments: