Waziri
wa Viwanda na biashara Mhesimiwa Charles Mwijage amewapongeza
watengenezaji wa vifaa vya kuhifadhia maji kwa kuendelea kuyaunga mkono
malengo ya serikali ya kuanzisha viwanda nchini.
Hayo aliyasema katika hafla ya kuitimisha kampeni ya miezi mitatu ya uza SIMTANK na ushinde na kutoa zawadi kwa mawakala wauzaji wa SIMTANK Bi. Fatina Said na Bw. Rama Jurijs ambao walijishia gari kila mmoja iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
“Nawaomba SILAFRICA waendelee kuibua na kufikia masoko mapya na kutengeneza bidhaa zinazokidhi mahitaji ya wateja wao ikiwa ni pamoja na matumizi ya viwandani na majumbani” alisema Mh. Mwijage.
Viwanda vingi vitakavyoanzishwa nchini vitahitaji kwa kiasi kikubwa vifungashio vya bidhaa zake hivyo pamoja na SILAFRICA kuzalisha matangi ya kuhifadhia maji kuna fursa kubwa ya kiwanda hiki kutumia plastiki kuzalisha hivyo vifungashio. Pia Mh. Mwijage aliwataka mawakala wa SIMTANK kuhakikisha wakaazi wa vijijini wanafikiwa na huduma hii ya vifaa vya kutunzia maji vilivyobora ukilinganisha na vile vya asili yaani mitungi inayowezavunjika wakati wowote.
Pamoja na hayo waziri aliwaomba SIALFRICA kuanzisha mpango wa elimu ya kukusanya na kuhifadhi maji wakati wa mvua ili kuwaepusha wananchi na usumbufu wa kukosa maji kipindi cha kiangazi.
Mkurugenzi mkuu wa SILAFRICA TANZANIA LTD, Bw. Alpesh Patel alimuhakikishia waziri kuwa wako tayari kutoa elimu kwa wananchi juu ya uhifadhi wa maji na kusema kuwa kampeni ya mwaka huu imekuwa na vipengele saba vilivyoshindaniwa hii yote ni kuonyesha jinsi kampuni inavyowajali mawakala wake na wateje wake kwa ujumla.
Leo SILAFRICA, tunafurahi kuzawadia magari mawili kwa mawakala wetu walifanya mauzo vizuri katika mwaka huu. Zawadi hizi ni ishara tosha kuwa bidhaa zetu zinaamika kwa watanzania na pia tumetoa zawadi kwa mawakale wengine waliofanya vizui katika mauzo yao” alisema Bw. Alpesh.
Ningependa kuwapongeza washindi wa kwanza mwaka huu Bi. Fatina Said na Bw. Jurijs kwa kupata zawadi katika kampeni ya uza SIMUTANK na ushinde ya huu wa 2016. Pia pongezi hizi ziende kwa washinde wengine wote katika siku ya leo na niwatie moyo kuwa tayari kupambana kwaajili ya kampeni ya mwaka kesho.
Baadaya kupewa zawadi hiyo Bi. Fatina Said aliishukuru SILAFRICA kwa kutambua mchango wa mawakala wao na kutoa motisha ili kuendelza jitihada zao. Hafla hii imeenda sambamba na udhati wao katika kuwasaidia mamilioni ya watanzania katika lindi zima la ukosefu wa maji.
“Kwangu mimi ushindi si muhimu sana bali kuendelea kuwauzi wateja wangu bidhaa ninazoamini ni borana zinazokidhi mahitaji yao. Hivyo SIMTANK ni bidhaa ambayo wateja wetu huamini” alisema Bi. Fatina.
Naye Bw. Said” alisema wateja wake wengi huuhitaji huduma ya SIMTANK na hii humfanya ajisikie vizuri na ndiyo sababu toka aanze biashara hajasita kuuza matanki haya. Ni bidhaa bora na yenye kupendwa hata katika nchi jirani.
Chapa ya SIMTANK ilizinduliwa nchini Tanzania miaka 20 iliyopita kwa lengo la kuzalisha bidhaa safi, imara, na salama za kutunzia maji. Kwa sasa imekuwa ikiaminika katika soko kwa sababu ya ubora wa teknolojia na malighafi zinazotumika katika utengenezaji wake.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage wa pili kulia
akimkabidhi funguo za gari mmiliki wa duka la vifaa vya ujenzi la FMJ,
Fatima Said baada ya kuibuka mshindi wa mauzo ya bidhaa za tangi la maji
aina ya Simtank, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Simtank, Alpesh Patel na
kulia ni mshindi mwengine wa shindano hilo Ramadhani Sakalani
Mh.
Mwijage akisalimiana na mshindi wa gari katika kampeni ya uza SIMTANK
na ushinde Bw. Ramadhani Sakalani. Wakitazama kushoto ni Bw. Alpesh
Patel na Bi. Fatina Said.
Bw. Ramadhani Sakalani akionyesha ufunguo wa gari aliloshinda baada ya kukabidhiwa na Mh. waziri.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage wa nne kulia
akifafanua jambo mara baada ya kukabidhi funguo za gari kwa mmiliki wa
duka la vifaa vya ujenzi la FMJ, Fatima Said baada ya kuibuka mshindi wa
mauzo ya bidhaa za tangi la maji aina ya Simtank.
Picha ya pamoja
Bi
Fatina Said akiongea na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa zawadi
ya gari aliyopata kwa kuvuka malengo ya mauzo ya SIMTANK kupitia
kampeni ya uzxa na ushinde.
Waziri
wa Viwanda na Biashara Mh. Charles Mwijage akisalimiana na wafanyakazi
wa kiwanda cha SILAFRICA baada ya kuwasili katika hafla ya utoaji tuzo
kwa washindi wa Uza SIMTANK na ushinde.
1 comment:
UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI MPAKA MASAA 48(Siku 2) POPOTE ULIPO.
(Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajili ni azina kutoka kwa mwenyezi mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)
MPAKA MASAA 72(SIKU3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA
kwa maelezo kamili piga namba +255 742162843
(KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO TUNAPITIA MENGI ILI TUWEZE KUFANIKIWA LAKINI WENGI WETU KUNA MAMBO MACHACHE SANA WENGI WETU TUNAYADHARAU NA KUMBE NDIO CHANZO CHA MAFNIKIO YETU.
NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.
NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.
(kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
1. uwe una umri wa miaka 18+
2. uwe tayari kupokea masharti yote
3.uwe na uwezo wa kutunza siri
4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO
SAFARI YAKO YA MAFANIKIO UTAJIRI NA RIZIKI ZAKO ZIMESIMAMA NA KUZINASUA UWEZE KUSONGA MBELE SOMA KWA UMAKINI UWEZE KUIJUA SIRI HII.
HAYA NI MAMBO 7 YAKUZINGATIA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFNIKIO
i) Wazazi wako wakiwa wamekulea mpaka ukawa mkubwa wafumbua macho unawaona akikisha usiwafanye wakajuta kukuzaa asilimia kubwa wazazi wanakuwa na tabu sana ila zile tabu zao ndio zinazokufanya wewe una aminiwa na watu na unaeshimika na kujieshimu
Kwaiyo jitahidi sana kuwa nao vizuri kuna wengi maisha yao wanaishi kwa shida chanzo ni utofauti baina ya wazazi wao
Ukiona wazazi wako wanatabu sana usiwajibu vibaya wewe kaa nao mbali ila wape majukumu yao unacho fanya kuwaona nakurudi ulipo apo utaona mambo yako yatakuwa vizuri sana
ii) JAMBO LA PILI
Akikisha unatunza uzao wako yani ukijua ni mtoto ni wako basi jitahidi sana kutoa uduma ata kidogo ulicho nacho lakini udumia usiache uzao wako unateseka na njaa wewe una kula maisha aisee fahau
Kila mtoto wako anavyo kuwa ndio mambo yako yanaaribika usipo udumia kwaiyo ukiwa waitaji kufanikiwa zaidi jali uzao wako
iii) JAMBO LA TATU
ukiwa umeoa au umeolewa usitoe talaka au kuomba talaka kabla mwenzio ayupo tayari kwa muda huo fahamu ukiomba talaka au akikupa talaka bila bila sababu ya msingi yeye tu ana matamanio ya kidunia basi anamuda atapoteza muelekeo wa maisha yake
iv) UKIWA WAPATA PESA
ukiwa wapata pesa alafu utoi sadaka basi kufikia kwenye ukuu utachelewa sana mana mana pesa badala ya kutoa kwa iyari yako utatoa kwa matatizo kwaiyo jitahidi icho icho kidogo toa sadaka kwa wenye uitaji
v) USIMZULUMU MTU
kama wataka kufika mbali kwenye mafanikio yako usimzulumu mtu ata kwa uchache wa kitu usifanye ivyo itakugarimu kiasi kikubwa
vi) USIZARAH MILA
ukiwa kwenu kuna mambo ya mila mzimu tambiko jitahidi kufatilia sana aya mambo yanarudisha nyuma sana usipo yawahi mapema
vii)USIWE WA NAMNA
1)ikiwa ujafanikiwa jitahidi sana usiwe mvivu kufanya kazi usiwe muhuni usiwe mwenye chuki na asira zisizo za msingi usiwe na tamaa nyoa vizuri vaa nguo za eshima na usiige maisha ya watu.
KWA MAWSILIANO ZAIDI KUHUSU MATATIZO MBALIMBALI YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA, PETE MALI ZA NDAGU NA MAJINI N.K
DOKTA MDIRO Call/whatsup +255 742162843
Post a Comment