Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi (wapili kushoto) akizungumza na wazazi waliozaa watoto njiti kabla ya Jeshi kuwapa misaada mbalimbali kwa ajili ya kusaidia malezi ya watoto hao waliozaliwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Wapili kulia(aliyebeba zawadi) ni Kamishna Msaidizi wa Jeshi hilo, Maria Kulaya. Picha zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (kushoto) na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi wakimkabidhi msaada wa soksi na kofia mzazi aliyejifungua mtoto njiti, Fausta Jison katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Kulia ni Mariam Juma ambaye naye alijifungua mtoto wa aina hiyo katika hospitali hiyo. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (kushoto) na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi wakimkabidhi msaada wa soksi na kofia mzazi aliyejifungua mtoto njiti, Mariam Juma katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Rosy Meena akitoa zawadi ya soksi na kofia kwa mtoto aliyezaliwa na matatizo ya kiafya katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi akitoa zawadi ya soksi na kofia kwa mtoto aliyezaliwa na matatizo ya kiafya katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke, Dk Aman Malima, akiwapa elimu Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (kulia) na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo, Puyo Nzalayaimisi kuhusu watoto njiti wanavyozaliwa, kabla ya Maafisa hao wa Jeshi pamoja na askari mbalimbali waliofika hospitalini hapo kwenda kuwatembelea wodini watoto njiti, watoto waliozaliwa na matatizo mbalimbali pamoja na watoto waliozaliwa salama katika hopsitali hiyo. Jeshi hilo limeanzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kutoa misaada katika hospitali hiyo kwa wazazi waliojifungua watoto hao. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (watano kushoto mstari wa mbele), Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi (watatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa na askari wa Jeshi hilo mara baada ya kumaliza kutoa misaada mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa. Picha zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
No comments:
Post a Comment