Thursday, October 20, 2016

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO October 20, 2016SIMU.tv: Waziri mkuu Kassim Majaliwa apokea msaada wa mabati mia moja kwa ajili ya kuboresha hospitali ya wilaya ya Ruangwa;https://youtu.be/8WGASfCrvl0

SIMU.tv: Wanasheria wabobezi wa masuala ya haki na uhalifu wa kimataifa  kutoka nchi mbalimbali duniani wakutana jijini Arushahttps://youtu.be/xu3fqePUZu8

SIMU.tv: Mkuu wa wilaya ya Ilolo apewa muda wa wiki nne kuwaondoa watu wote wanaoishi karibu na vyanzo vya maji;https://youtu.be/M-CLM7ydbeo

SIMU.tv: Waziri Jenista Mhagama azindua bodi mpya kwa ajili ya mshahara kwa sekta za umma na binafsi; https://youtu.be/g0SWq-8vDXc

SIMU.tv: Waziri mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi mkurugenzi wa maji mkoani Lindi kwa matumizi mabaya ya ofisi;https://youtu.be/50BVyanQMCE

SIMU.tv: Kamati ya bunge ya huduma za jamii yasogeza mbele muda wa kujadili muswada wa habari; https://youtu.be/pyC3X-eNN3A

SIMU.tv: Serikali yakaribisha maoni na mapendekezo ya mchakato wa mabadiliko ya sera ya taifa ya ardhi ya mwaka 1995;https://youtu.be/-6oIxlMqhG4

SIMU.tv: Rais wa Zanzibar Dkt. Shein amesema serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iko vizuri katika suala la ukusanyaji wa mapato;https://youtu.be/OYgp-FDM5lg

SIMU.tv: Fuatilia mazungumzo kuhusu malezi ya kisasa na changamoto wanazozipata wazazi katika kuwalea watoto katika maadili mazuri;https://youtu.be/-6oP-Vq2VWY

SIMU.tv: Fuatilia mazungumzo kuhusu ugonjwa wa akili kutoka kwa mwanasaikolojia   Dkt. Nkwabi  Sabasaba; https://youtu.be/HC4TKl-mXlU

SIMU.tv: Mabingwa wa Tanzania bara Yanga jana wameamsha matumaini ya kutetea taji lao kwa kuifunga timu ya Toto African magoli 2 kwa 0: https://youtu.be/JTzy5wikako

SIMU.tv: Shirikisho la soka hapa nchini TFF limempiga marufuku kocha wa timu ya Toto African Alfan Ngasa kuiyongoza timu hiyo:https://youtu.be/-AwDyFCut2o

SIMU.tv: Kocha mashughuli  wa timu  ya   Leicester City amesema anachukizwa na timu yake kufanya vibaya katika ligi ya England:https://youtu.be/HJW5fSz8pJE

No comments: