Friday, October 7, 2016

WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA JINSI ILIVYOFANA KATIKA BENKI YA CRDB TAWI LA TEGETA KIBO COMPLEX.

 Keki ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja katika Benki ya CRDB tawi la Tegeta jijini Dar es Salaam.
 Meneja waenki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo Complex, Richard Mkakala  akisaidiana na wateja wa tawi la CRDB tawi la Tegeta kukata keki kwaajili ya kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo.
 Mteja wa mda mrefu wa CRDB tawi la Tegeta  Kibo Complex akishuhudiwa na wafanyakazi wa Tawi hilo wakati akikata keki kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja.
Mteja wa Muda mrefu, John Dilinga (Dj JD) na Mfanyakazi wa Tawi la Tegeta Kibo Complex, Neema Witts wakifungua Shampeini wakati wa hafla fupi ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja. 
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo Complex wakigonganisha Glasi kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo.
  Meneja waenki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo Complex, Richard Mkakala  akimlisha keki Mteja wa Muda mrefu, Arbogast Kilwale wakati wa hafla fupi ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo.
Meneja waenki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo Complex, Richard Mkakala akimlisha keki Mteja wa Muda mrefu, John Dilinga (Dj JD) wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo.
Meneja waenki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo Complex, Richard Mkakala  akimlisha keki mteja wa muda mrefu wa tawi la Tegeta ikiwa ni kuadhisha wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo. Meneja waenki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo Complex, Richard Mkakala akiwalisha keki baadhi ya wateja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo Complex jijini Dar es Salaam leo.
 Meneja waenki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo Complex, Richard Mkakala akiwashukuru wateja waliofika katika tawi lao jijini Dar es Salaam leo Ikiwa ni kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.


 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo Complex wakiwa katika picha ya Pamoja jijini Dar es Salaam leo.
 Selfiiiiiii
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay alipotembelea tawi la Tegeta Kibo Complex na kukata keki pamoja nao katika wiki ya hudums kwa wateja.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay alipotembelea alitoa zawadi kwa wateja walioenda kupata huduma katika tawi hilo.Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo Complex wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments: