Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Shindano ya Miss
Tanzania 2016 walipokutana kuzungumza kuhusu masuala ya urembo nchini na baadae
kushiriki katika zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akizungumza na washiriki wa wa Shindano ya Miss Tanzania 2016 na
wadau wa Mashindano ya urembo nchini walipokutana kuzungumza kuhusu masuala ya
urembo nchini na baadae kushiriki katika zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akishiriki kupanda miti wakati
alipokutana na kuzungumza kuhusu masuala ya urembo nchini na baadae kushiriki katika
zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma
Baadhi ya washiriki wa Shindano la Miss Tanzania 2016
wakipanda miti katika zoezi la upandaji miti lililofanyika Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akiwa katika picha pamojja na washiriki wa Shindano la Miss
Tanzania 2016 mara baada ya kufanya mazungumzo nao na kushiriki zoezi la upandaji miti lililofanyika
Mjini Dodoma.
Picha na Kitengo cha Mwasiliano WHUSM.
No comments:
Post a Comment