Tuesday, October 4, 2016

WAZIRI MBARAWA AHUDHURIA SHEREHE YA SIKU YA WATU WA KOREA KUSINI.

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wageni waliohudhuria Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
 Wageni waalikwa waliohudhuria Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika hafla hiyo.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia, na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Song, Geum-young (katikati), wakikata keki kama ishara ya kujenga mahusiano mema baina ya nchi hizo mbili katika Sherehe ya Siku ya  Watu wa Korea Kusini iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akigonga glasi (cheers) na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Song, Geum-young kama ishara ya kujenga mahusiano mema baina ya nchi hizo mbili katika Sherehe ya Siku ya Watu wa  Korea Kusini iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wageni waalikwa katika hafla hiyo.
Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

No comments: