Friday, October 7, 2016

WATEJA 80 WAFUNGUA AKAUNTI KATIKA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA- WATER FRONT.
BENKI ya CRDB tawi la Water Front limesema kuwa katika maadhimisho ya wiki kwa mteja wamefanikiwa kupata wateja wapya 80 na hio ni moja ya mafanikio makubwa sana kwao.

Meneja huduma kwa wateja wa tawi hilo, Mary Ngowi amesema kuwa watu wamefurahia sana huduma zao na wamepata nafasi za kutembelea matawi yote ndani ya wiki hii na wamesikiliza maoni ya wateja wao na watayafanyia kazi ikiwemo kuboresha huduma zao.


Maadhimisho hayo yamemalizika kwa wafanyakazi wa benki hiyo na wateja kukata keki kwa pamoja.


  
 Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakiwa katika picha ya pamoja.
  Selfiiiiiiiiiiii
 Keki ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja ikiwa na kauli mbiu ya Tunakusikiliza, karibu tukuhudumie.
 Mteja wa muda mrefu akiwa anakata  Keki ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja ikiwa na kauli mbiu ya Tunakusikiliza, karibu tukuhudumie.
 

 kaimu Meneja wa tawi la Benki ya CRDB Water Front Albert Kafuru akimlisha keki mteja wa muda mrefu katika wiki ya Maadhimisho ya Huduma kwa wateja.
 Mteja wa siku nyingi akimlisha keki  kaimu Meneja wa tawi la Benki ya CRDB Water Front Albert Kafuru akimlisha keki mteja wa siku nyingi katika wiki ya Maadhimisho ya Huduma kwa wateja.


 Meneja biashara na maendeleo wa benki ya CRDB tawi la Water Front Adam Akaro akimlisha keki mteja wa muda mrefu wa benki hiyo katika wiki ya maadhimisho ya huduma kwa mteja.
 Mteja wa smuda mrefu akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front.

No comments: