Friday, October 7, 2016

WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA ENGENDER HEALTH WAMKARIBISHA RAIS WAO HAPA NCHINI.

Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller akizungumza na wadau wa afya na wadau wa Elimu  kuhusiana na Uzazi wa Mpango wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kumkaribisha hapa nchini.
Naibu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la EngenderHealth, Feddy Mwanga akizungumza na wadau wa Afya na elimu wakati wa kumkaribisha Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller jijini Dar es Salaam. Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller akizungumza na wadau wa afya pamoja na wadau wa elimu katika hafla fupi ya kumkaribisha hapa nchini.
 Mkurugenzi Mkazi wa shirika la EngenderHealth hapa nchini, Richard Killian akibadilishana mawazo na baadhi ya wadau wa afya na elimu katika hafla ya Kumkaribisha Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller hapa nchini.

No comments: