Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi
wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari
Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwasha mshumaa kuashiria ufunguzi
rasmi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania
(Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond
Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili
Mhe. Ally Hassan Mwinyi akiwasha mshumaa kuashiria ufunguzi rasmi wa
Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari
Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya vikundi vya Utaamduni
wa kihindi vikitumbuiza katika uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni la India
liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba
14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili
Mhe. Ally Hassan Mwinyi (kulia)akimsikiliza Balozi wa India nchini Mhe.
Sandeep Arya (katikati) wakati wa onesho la uzinduzi wa Tamasha la
Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania)
lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar
es Salaam kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Nape Moses Nnauye.
Wageni waalikwa wakifatila
burudani mbalimbali wakati wa onesho la Tamasha la Utamaduni la India
liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba
14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM
No comments:
Post a Comment