Meneja
Mradi, Ushirikishwaji wa Vijana - TYVA, Alfred Kiwuyo akiwaelezea
washiriki dhima ya kongamano la vijana waliokutana kujadili haki na
wajabu kwa vijana katika maendeleo ya Taifa. (Picha na Geofrey Adroph)
TYVA
ni asasi ya vijana ambayo imejikita na Kujipambanua kupigania jamii
yenye haki na usawa, amani na misingi ya kidemokrasia na yenye ushiriki
hai na wenye tija kwa vijana katika shughuli za maendeleo imeandaa
kongamano hili kuwawezesha vijana kujadili Haki na Wajibu kwa Vijana na
mstakabali wa Taifa kwa ujumla. Kongamano hili pia lilikuwa na dhima ya
kupanua uelewa na umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli
za maendele ya Taifa kwa ujumla.
Wakili
Chikulupi Kasaka, akitoa mada ya Haki na Wajibu wa Vijana kwa vijana
mbalimbali wa vyoni na mtaani waliokuta kujadili haki na wajibu wao
katika jamii iliyofanyika katika ukumbi wa British Council jijini Dar es
salaam iliyoandaliwa na Taasisi la Vijana la TYVA .
Mwenyekiti
wa Bodi ya washauri ya Vijana(YAB) Femina Hip, Hassan Pukey akitoa mada
kwa vijana waliofika katika kongamano lililoandaliwa na Taasisi la Vijana la TYVA ili kujadili haki na wajibu wa vijana na katika jamii.
Makamu
Mwenyekiti wa TYVA, Kamala Dickson akizungumzia mchakato wa baraza la
vijana na jinsi vijana walivyoshirikishwa katika kutoa maoni ya mchakato
mzima iliyoandaliwa na Taasisi la Vijana la TYVA na kufanyika katika
ukumbi wa British Council jijini Dar es Salaam leo
Baadhi ya vijana wakichangia mada zilizokuwa zikihusu wajibu na haki kwa vijana
Baadhi ya vijana waliofika katika kongamano la kujadili haki na wajibu wa vijana katika jamii
Victoria
Charles ambaye alikuwa ni Mwongozaji wa Mjadala wa Vijana akizungumza
na waandshi wa habri leo katoka kongamano lililofanyika katika ukumbi wa
British Council jijini Dar es Salaam
Zulekha Ibrahim kutoka Taasisi la Vijana la TYVA akizungumza jambo
Katibu
Mtendaji wa TYVA Saddam Khalfan Ahmed akifunga kongamano la vijana
lililowakutanisha vijana ili kujadili haki na wajibu wa vijana.
Alisisitiza vijana watafute maarifa na taarifa za maendeleo. Aligusia
pia umuhimu wa ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika sekta
mbalimbali za maendeleo na vyombo vya maamuzi.
Picha ya Pamoja
No comments:
Post a Comment