Monday, October 17, 2016

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MAELFU KUAGA MWILI WA MEYA WA ZAMANI WA DAR ES SALAAM DKT. DIDAS MASABURI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea machache kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Sehemu ya wafiwa kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli  wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016

 Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete  akiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gkalib Bilali, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi na Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe. Isaya mwita wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
  Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Kutoka kulia ni Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe. Isaya Mwita,  Waziri Mstaafu Profesa Philemon sarungi, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana, Mama Regina Lowassa na Waziri Mkuu wa Zamani Mhe Edward Lowassa wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Viongozi mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Viongozi wakielekea kutoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
 Viongozi wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Mabalozi na viongozi  wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Wanahabari wakirekodi hafla ya kutoa heshima za  mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Mkuu wa Majeshi jenerali Davies Mwamunyange na viongozi wengine wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016. 











































No comments: