Waziri Kairuki akibadilishana mawasiliano na Mkurugenzi wa Manispaa ya Mbulu, Hudson Kamoga.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene akiwapongeza baadhi ya Wakurugenzi wa Manispaa, miji na Halmashauri baada ya kiapo mjini Dodoma. |
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene (katikati), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jaffo (wa pili kushoto), Katibu Msaidizi wa Sekretarieti ya Maadili ya Umma Ofisi ya Kanda ya kati Dodoma, Cathlex Makawia (kushoto) pamoja Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Bernard Makali (kulia) wakiwa katika pichAa ya pamoja na wakurugenzi hao. (Imeanaliwa na Robert Okanda Blogs) |
|
No comments:
Post a Comment