Thursday, September 22, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENISIMU.TV: Waziri wa nishati na madini Prof Muhongo,ametoa muda wa siku moja kwa vituo vya kugawa umeme mkoani Kagera kutoka taarifa ya uharibifu uliotokana na tetemeko la ardhi; https://youtu.be/soOsZSD8PdA

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Generali mstaafu Salum Kijuu ameitaka mikoa mingine nchini kujitokeza na kusaidia janga lililotokea mkoani humo;https://youtu.be/w0MtjxbSJMc
SIMU.TV: Taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizokuwa za serikali zimechangia jumla ya milioni 172 kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera;https://youtu.be/MF1jQvZzjgQ

SIMU.TV: Serikali imesema itaendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na shirika la utangazaji nchini TBC, ikiwemo kuongeza mishahara kwa wafanyakazi wa shirika hilo;https://youtu.be/eR8pXpY3lXA

SIMU.TV: Mamlaka ya mapato nchini TRA kwa kushirikiana na kampuni ya YONO wameifungia kampuni ya utengenezaji wa vipindi ya Benchmark kwa kukwepa kodi ya bilioni 7; https://youtu.be/IgHCMykIuL4  

SIMU.TV: Benki ya Barclays Tanzania, imezindua mpango maalumu wa kuwasaidia wanafunzi wanaohitimu vyuoni ili waweze kujiajiri; https://youtu.be/wJ_YHj_lXCs
SIMU.TV: Kijana wa kitanzania aliyeibuka mshindi katika shindano la kubuni wazo litakalowezesha kutatua shida za wananchi katika sekta ya usafi na afya;https://youtu.be/FMbK_zrB5y0
SIMU.TV: Mwenyekiti wa chama cha soka nchini Amina Karuka, amewataka wadau wa soka nchini kuwekeza katika soka la wanawake ili kuipatia nguvu timu ya taifa ya wanawake; https://youtu.be/oamzbfUBINo
SIMU.TV: Watanzania wametakiwa kushiriki katika tamasha la sanaa lililopangwa kufanyika katika kijiji cha makumbusho tarehe 24 mwezi huu jijini Dar Es salaam;https://youtu.be/xNjpvpR-wpQ
SIMU.TV: Ujenzi wa daraja la Surender litakalounganisha eneo la Coco Beach na Aghakan jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuanza 2017. https://youtu.be/K6ODY8tH0vY

SIMU.TV: Ujenzi wa hospitali ilioko eneo la Mloganzila Kibamba jijjini Dar es Salaam umekamilika na inatarajiwa kutoa matibabu kwa wagonjwa na kutoa mafunzo kwa wanafunzi wa sekta ya afya. https://youtu.be/oTyP3Y_UM24

SIMU.TV: Wanasayansi na wataalamu wa mazingira kutoka umoja wa mataifa wameanza mazungumzo na jamii ya wafugaji ili kuona namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. https://youtu.be/D02tdmx86ZM
SIMU.TV: Waziri wa ujenzi mawasiliano na uchukuzi aitaka bodi ya usajili wa wabunifu na wakadiriaji majenzi kutowavumilia wananoshindwa kusimamia miradi.https://youtu.be/DTpm_xCAVq0

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, amuagiza mkuu wa wilaya ya Kilwa kufanya operesheni maalumu ili kubaini wavuvi haramu na kuwachukulia hatua za kisheria. https://youtu.be/SoOaFqjlGUE

SIMU.TV: Serikali yawashuru watu wote waliojitolea michango yao ya hali na mali ili kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. https://youtu.be/fJ_lq1e2xww

SIMU.TV: Mamlaka ya mapato nchini yaifungia kampuni inayojihusisha na uandaji wa vipindi vya televisheni ya Benchmark production kwa kulimbikiza madeni ya kodi.https://youtu.be/y_QekDxLT6Q

SIMU.TV: Wadau wa kilimo cha maua na kahawa nchini watakiwa kuzingatia sheria na mbinu za kilimo ili kuweza kupata mazao ya kutosha. https://youtu.be/g-eNfOG-LO4

SIMU.TV: Timu ya taifa ya soka ya wanawake Kilimanjaro queens leo imewasili mkoani Mwanza na kupata mapokezi ya nguvu kutokana na kushinda ubingwa wa CECAFA.https://youtu.be/Vlrb2zdHohk

SIMU.TV: Wadau mbalimbali wa michezo nchini waombwa kujitokeza kudhamini ligi ya soka katika wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. https://youtu.be/QKH_bBlTkEk

SIMU.TV: Wasanii mbalimbali nchini wanatarajiwa kushiriki katika tamasha la siku ya msanii duniani linalotarajiwa kufanyika katika ukumbi wa makumbusho ya taifa.https://youtu.be/BVCrAjZdfpE

SIMU.TV: Baadhi ya washiriki wa shindano la kusakata dansi mwaka huu waitembelea kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ambao ni wadamini wa shindano hilo.https://youtu.be/tM9FYxc7op4

No comments: