Monday, September 19, 2016

MASANJA ALIVYONOGESHA TAMSAHA LA UTAMADUNI WA AFRIKA MASHARIKI OLNEY, MARYLAND, MAREKANI

Msanja Mkandamizaji akitoa neno huku akitumia kipaji chake cha uchekeshaji siku ya Jumamosi Septemba 17, 2016 kwenye siku ya tamasha la utamaduni wa Afrika Mashariki lililofanyika Olney, Maryland nchini Marekani. Katika onyesho hilo kulikuwepo na vikundi mbalimbali vya utamaduni kutoka Afrika Masahariki, wakiwembo wasanii wa nyimbo za injili na onyesho la mavazi kutoka nchi tano zinazounda jumuiya hiyo. Na mapema mchana tamasha lilianzia na nyama choma. Picha na Vijimambo Blog /Kwanza Production.
Masanja Mkandamizaji akifanya vitu vyake.
Masanja Mkandmizaji akiendelea kutoa neno la Mungu huku akiwaacha hoi watazamaji na watu wengine waliokua wakimsikiliza wakiwemo wachungaji.

Watu wakimfuatilia kwa makini Masanja Mkandamizaji.
Vikundi vingine vya utamaduni vikitumbuiza wakiwemo waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili.
Watu wakifuatilia onyesho.

No comments: