Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meneja wa Kiwanda cha sukari cha Kagera, Ashuwin Rana baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa Agosti 2, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene Kebwe na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Kagera Sugar na Mtibwa Sugar, Seif Ali Seif .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa kukagua uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, Agosti 2, 2016. Kulia ni mkewe Mary, wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene Kebwe na Wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha sukari cha Kagera na Mtibwa, Seif Ali Seif . Kushoto ni Kaimu Katibu wa CCM mkoa Wa Morogoro, Kulwa Solobi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la mtambo wa maji ya kumwagilia katika shamba la miwa la kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipokitembelea kiwanda hicho, Agosti 2, 2016. Kushoto ni mkewe Mary na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera na Mtibwa, Seif Ali Seif .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la mtambo wa maji ya kumwagilia katika shamba la miwa la kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipokitembelea kiwanda hicho, Agosti 2, 2016. Kushoto ni mkewe Mary na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera na Mtibwa, Seif Ali Seif.
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipotembelea kiwanda hicho Agosti 2, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephene Kebwe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipokitembelea kiwanda hicho Agosti 2, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment