Friday, August 19, 2016

USIKU WA JESTINA JULIUS LEO

 Bi harusi Mtarajiwa, Jestina Julius akiwa katika pozi kabla ya kuanza kupambwa, ambapo anatarajiwa kuagwa katika ukumbi wa Unenamwa uliopo Kimara Jijini Dar es Salaam hivi punde na kufatiwa na Hafla ya Sherehe ya Harusi inayotarajiwa kufungwa Agosti 21, 2016. katika kanisa la Waebrania (E.A.G.T) lililopo kimara Dar es Salaam. 
(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
 Bi. harusi katika muonekano wake
 Bi harusi Mtarajiwa, Jestina Julius akiwa katika  tabasamu na mpambe wake Mrs. Upendo Shija Bi harusi Mtarajiwa, Jestina Julius akipambwa na Domitila Mbawala ambaye ni Mmiliki wa Clara Beauty Salon iliyopo Kimara Suka Dar es Salaam ,ambapo Sherehe ya hafla hiyo itafanyika katika Ukumbi wa Unenamwa na kufatiwa na Ndoa inayo tarajiwa kufungwa Agosti 21, 2016 Dar es Salaam  katika kanisa la Waebrania (E.A.G.T) lililopo kimara . 

Mpambe wa bi harusi mtarajiwa Mrs  Upendo Shija akipambwa na Domitila Mbawala ambaye ni Mmiliki wa Clara Beauty Salon  liyopo Kimara Suka Dar es Salaam

No comments: