Friday, August 19, 2016

ORODHA YA MAJINA YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA MGODI WA BULYANHULU WANAOTAKIWA KUONANA NA MADAKTARI BINGWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI NA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO KUANZIA KESHO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UPIMAJI AFYA KWA WALIOKUWA 
WAFANYAKAZI WA MGODI WA BULYANHULU

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) utaendesha zoezi maalum la upimaji afya za waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa Bulyanhulu ambao waliachishwa kazi na mgodi huo mnamo mwaka 2007 bila kupimwa afya zao kinyume na Sheria ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi ya mwaka 2003.
Baada ya ukikwaji huo wa sheria kuripotiwa kwa Wakala, hatua stahiki zilichukuliwa ikiwemo kufanya kaguzi maalum za usalama na afya katika eneo la mgodi na kutoa onyo kali kwa mwajiri wa walalamikaji pamoja na kugharimia upimaji afya za waathirika wote.
Katika kushughulikia tatizo hilo, vikao vya mashauriano vilivyojumuisha serikali, mwajiri (Mgodi wa Bulyanhulu) na waathirika kupitia chama chao, TAMICO, vilifanyika na utaratibu wa kushughulikia suala hilo ukawekwa.  Katika utaratibu huo, TAMICO ilipewa jukumu la kuwatafuta waathirika wote popote walipo na kuwasilisha majina yao kwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi.  Wakala ulikuwa na jukumu la kuyapeleka majina hayo kwa mwajiri kwaajili ya uhakiki na kuratibu upimaji afya wa waathirika hao baada ya majina yao kuhakikiwa. 
Hadi kufikia sasa tayari waathirika 315 kati ya 371 ambao mwajiri alithibitisha kwamba walikuwa wafanyakazi wake wameshapimwa afya zao. 
Waathirika 56 waliobaki hawakujitokeza wakati wa upimaji afya licha ya kupewa taarifa juu ya zoezi hilo.  
Waathirika watakaopimwa kwasasa ni wale ambao vipimo vyao vya awali vilionesha kwamba wanahitaji vipimo zaidi kutoka kwa madaktari bingwa. 
Maandalizi ya upimaji huu yamekamilika na zoezi hili litafanyika katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili siku ya Jumamosi tarehe 20/08/2016 na katika hospitali ya rufaa ya Bugando mnamo tarehe 22/08-15/09/2016.  Katika zoezi hili waathirika ambao orodha ya majina yao imeambatanishwa katika taarifa hii wataonana na madaktari bingwa wa magonjwa ambayo wana dalili nayo ili kubaini kama wana matatizo kiafya na hatimaye kuweza kutazama kama matatizo waliyo nayo yametokana na kazi walizokuwa wakifanya mgodini. 
Kwa waathirika ambao madaktari watathibitisha kwamba matatizo yao ya kiafya yamesababishwa na kazi walizokuwa wanafanya, Wakala utashauri namna ambavyo wanapaswa kufidiwa kwa mujibu wa sheria za nchi. 
Waathirika ambao watakutwa na matatizo ya kiafya ambayo hayatokani na kazi, watashauriwa kuendelea na matibabu katika hospitali zilizopo karibu nao.
Aidha kwa waathirika ambao hawatakutwa na matatizo yoyote ya kiafya watapatiwa vyeti vyao (certificate of fitness) ambavyo hutolewa kwa wafanyakazi wanaopimwa afya zao baada ya kukoma kwa ajira zao kwa mujibu wa kifungu Na.24 (2) cha Sheria ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi ya mwaka 2003.
Ikumbukwe kwamba, upimaji huu ni mwendelezo wa hatua mbali mbali zinazochukuliwa na serikali katika kushughulikia tatizo hili ambalo lilitokea mwaka 2007 ambapo waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa Bulyanhulu waliachishwa kazi na mwajiri wao baada ya kugoma kufanya kazi. 
 Hata hivyo mwajiri wao (Mgodi wa Bulyanhulu) haukuweza kuwapima afya zao kama Sheria ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi ya mwaka 2003 inavyomtaka.
Mwisho, kwakuwa suala hili ni la kisheria na serikali ina nia ya dhati ya kulishughulikia, tunaomba ushirikiano kutoka pande zote (waathirika na mwajiri) ili kuhakikisha kwamba zoezi hili linatekelezwa kwa ufanisi mkubwa.
Imetolewa na;
Dkt. Akwilina Kayumba
Mtendaji Mkuu

NA.
JINA LA MFANYAKAZI
1
JUMA SAID MANGU
2
ENOS TABAN BUPAMBA
3
SALUM KANANI SIMBEYE
4
ANITA JONAS NGONYANI
5
MBAZI SHUDI MRUTU
6
VICENT MICHAEL MASUKE
7
MABULA E. MANYANYA
8
SIMON AJABUELI NGOYE
9
GENDO RAMADHANI KIBWENGO
10
CASMIR VICTOR  CASMIR
11
STEPHEN KASORE
12
ERNEST KOMBA
13
ALEX NGANDA
14
MUHIDINI SIMBA
15
DANIEL NGOLO
16
CATHBERT MBEZI MHINA
17
JACKSON LINGA MWALUGAJA
18
PETER JACKSON MWAIKUJU
19
ROBI RANGE SEGERE
20
KEPHA REUBEN NTOBI
21
KIFUMBO MUSA KIFUMBA
    22
 GEORGE MARTIN JIMISHA

B: WATAKAO ONANA NA MADAKTARI BINGWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO-MWANZAAGOSTI 23, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
 NA.
JINA LA MFANYAKAZI
1
JOSEPH MASANJA NTINDA
2
WITIKA JUMA RAMADHANI
3
TIMOTHY HILARY CHARLE
4
TIMOTHY ALEXANDER ABEL
5
NASSORO RAMADHANI MWANDU
6
MAGUBIKA DICKSON MSHAMU
7
MPAMBA MULINGWA ROBERT
8
PHILIPO MUGISHA BALIGE
9
BILDADI J. MAKUNDI
10
SEIF RASHIDI DULLE
11
MABINA FIDELIS GEORGE
12
DASTAN ILOLE BULUNGA
13
RICHARD DAUDI NG'OSHA
14
DENIS KAROLI BAGASHE
15
BARAKA MASUDI YABOI
16
TOBIAS AMUS MAGATI
17
MALIMI PETER MAZULIKA
18
MASANJA N. MASHALLA
19
BATHOLOMEO KAYOKA JANUARY
20
BAHATI SIMON KALUKUNZILA

AGOSTI 26, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
MASANJA N. MASHALLA
2
BATHOLOMEO KAYOKA JANUARY
3
BAHATI SIMON KALUKUNZILA
4
SALUM MANG'OMBE DEREFA
AGOSTI 23, 2016 (MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
NIXON KATANI IGOKO
2
PHILIPO HAULE BENJAMINI
3
MPAMBA MULINGWA ROBERT
AGOSTI 24, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
FADHILI JUMA KINANDA
2
BAKARI RAMADHANI SHABANI
3
CHARLES GWELELE MAKUNGU
AGOSTI 25, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
MICHAEL BONIPHACE MAKALE
2
MICHAEL JOHNSON MWIHAMBI
3
AKIDA ALLY SALUM
4
KASSIM SAID MRISHO
5
JOSEPH NYITIKA CHACHA
AGOSTI 22, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
JOSEPH MASANJA NTINDA
2
WITIKA JUMA RAMADHANI
3
TIMOTHY HILARY CHARLE
4
MAGUBIKA DICKSON MSHAMU
5
MPAMBA MULINGWA ROBERT
6
PHILIPO MUGISHA BALIGE
7
BILDADI J. MAKUNDI
8
SEIF RASHIDI DULLE
AGOSTI 23, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
IDDI SELEMANI KOMOLOLA
2
ABAS JOSEPH PETRO
3
MATHEW THOMAS KILUMA
4
PROSPER MICHAEL KIDALO
5
SIMON ERNERST MSHANGA
6
MBAROUK JUMA URASSA
7
ISSA RAMADHANI MWADU
8
ABDUL KASSIM MUGASHA
9
HERBERT PAUL MHALILA
10
SAYI GIBU MAGIDA
AGOSTI 24, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
MABINA FIDELIS GEORGE
2
DASTAN ILOLE BULUNGA
3
MICHAEL BONIPHACE MAKALE
4
MICHAEL JOHNSON MWIHAMBI
5
WILSON MATHIAS OWUOR
6
MARTIN CHARLE LUNGUYA
7
DANEIL AJABUELI NGOYE
8
JUMA SIMBA TAMAMBELE
9
ALVIN LAWRENCE KAMOYO
10
NIXON KATANI IGOKO
AGOSTI 25, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
YUSUPH HASSAN BOSHA
2
WINFRID ANDREW KARIA
3
BONIFACE MWENDI SOLOGWA
4
HILARY CASMIR MLINGI
5
SAMSON HANGO KHANGA
6
SAMSON MLINDA TULUSUBYA
7
DANIEL ELIAS CHENNA
8
CHARLES SYLVANUS MASANYIWA
9
BAHATI SIMON KALUKUNZILA
10
AKIDA ALLY SALUM
11
HUSSEIN KATELLA MASHA
12
NOVATUS PETRO RUGAKIKULA
13
JOSEPH MALOMA NDULI
14
KASSIM SAID MRISHO
15
SAMWEL ELIAS CHENA
16
ROBERT BENARD KADUNDU
17
JAPHET ALEX MOLEMI
18
CHARLES SIMBA KATUNDU
19
CHARLES DOTTO KALOGI
20
ERASMUS KIMARIO BERNARD
AGOSTI 29, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
NICOMEDES MODEST KAJUNGU
2
GEORGE NGASA SAMSON
3
DANIEL SALEHE MDAKI
4
AYOUB HAMZA KAGOMA
5
OSWALD JOHN KATWILE
6
LEONARD KINGI MIKOMANGWA
7
JOSSON TAIFA BATIGIRIZA
8
JUMA ATHUMANI JUMBE
9
SELLY BENARD KANOLO
10
IBRAHIM SUDD KAGOLO
AGOSTI 30, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
GODFREY RAPHAEL BULUBA
2
MAJID ISSA HAMAD
3
LEONARD EDWARD DOTTO
4
MAZENGO ISACK LUBANGO
5
KULWA GUIDO MASASILA
6
JOSEPH NYITIKA CHACHA
7
ROBERT RAPHAEL MUKUNIRWA
8
SILVANUS GERVAS KAMALA
9
YAHAYA MOHAMED PONDAMALI
10
SOSPETER SUKA STANSLAUS
AGOSTI 31, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
BENARD SIMON MABULA
2
JOHN GERVAS STEPHEN
3
RAMADHANI SAID KOROGWA
4
IDDI BUSANJI IDDI
5
JANUARY DATUS MSAFIRI
6
ATHUMANI SUFIAN HAJI
7
WILBERT SYLIVESTER MAKUNGU
8
ELPHAZ MANYONYIKISAJI
9
PETER HERMAN MABALA
10
MARTIN MASANYIWA MELANGO
SEPTEMBA 1, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
ALPHONCE PAULO LUNYALULA
2
MOHAMED A. MNGWALI
3
KASHAGA SEMISTOCLES RWEYASIZA
4
ERNEST JAMES MWIDIMA
5
ROMARD RUDOVICK KASHAGA
6
DAMAS EDWARD KOMORE
7
KULWA JOHN  SINGU
8
SALVATORY SAMSON NGAVANGA
9
GODFREY MSENGI MBOGO
10
CHARLES MISANGA MAKOLO
11
AZARIA MASEPETRO
12
SIMON MICHAEL JOHN
13
JOSEPH MWITA NYABAGAKA
14
MACHERA DAVID CHACHA
15
JUMA DAUD MWAKALONGE
16
ENOS GINDU MABELELE
17
MICHAEL COSMAS MWAMBYALE
18
VICENT LYABANGI MPONEJA

C: KUNDI HILI WATAHUDUMIWA KATIKA OFISI ZA OSHA, MWANZA
SEPTEMBA 5, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
NA.
JINA LA MFANYAKAZI
1
GEORGE ALLEN GWABO
2
MICAH ZUBERY LUGALILA
3
MICAH ZUBERY LUGALILA
4
SELEMANI ABDUL MURASI
5
WASHANGA  MGANGA MGILA
6
MAJALIWA MUSSOLINI GWALUGWA
7
LEONARD ANDERSON MJEMA
8
REUBEN ABEL KASENGA
9
HEZRON JEREMIAH OGILLO
10
STEPHEN METHUSELAH KAZUZU
11
ACTON MUSHOBOZI NGIMBWA



SEPTEMBA 6, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
NA.
JINA LA MFANYAKAZI
11
FELICIAN KASOMI KATWALE
12
SELEMANI MANCHANI MSUNGA
13
DEONATUS BUNYOGA KAINGA
14
MUDATHIR MUSSA KALOKOLA
15
JACKSON EDWARD KAHABI
16
ALOYCE JOSEPH KANUTI
17
JOSEPH ANGEITAGA KYAMBA
18
KASTORY THOBIAS NONI
19
BISEKO WILLIAM FAUSTINE
20
SIMON PHILIP MAKEJA
21
DOTTO BITULLO TIMBA
SEPTEMBA 7, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
NA.
JINA LA MFANYAKAZI
1
CHARLES GWELELE MAKUNGU
2
EMMANUEL MATHEW KANZA
3
JOAKIM MUGANYIZI KITALE
4
ADEN ALLEN ACHIREKA
5
MASUNGA APOLLO KWILABYA
6
ADAM FERDINAND MPANDUJI
7
BAKARI HAMIS SHABANI
8
ELIAH PETER MGOMI
9
WILLIAM PETER NKYA
10
SIMITON LAZARO NYONDO
11
ABDALLAH AMIRI KHAMIS
12
ALEXANDER AUGUSTINO TENDWA
SEPTEMBA 8, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
NA.
JINA LA MFANYAKAZI
1
LAURENT GUNAGWA BUGUMBA
2
MAXIMILLIAN TILUMANYWA MABENGA
3
NG'HWANY MSONGE NG'WANY
4
OMARY SALUM SHABANI
5
SAMSON CHEMU MANYESHA
6
NYAMANDITO SAKU LILANGA
7
MAHAMOUD SALUM KININKI
8
HAMIS SHABAAN SADICK
9
GODFREY MSENGI MBOGO
10
FADHILI MCHARO MRUTTU
11
MSAFIRI CHARLES MATANDULWA
12
BENJAMIN ABRAHAM MASONGO
13
ANTHONY PIUS FAUSTIN
14
AUGUSTINO KULEBELWA MGANGA
15
GOGO WAZIRI HASSAN
SEPTEMBA 9, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
GIBSON MARKO MAGIDA
2
GEORGE JARED KADUGA
3
MARCEL JOSEPH KANUTI
4
MATHIAS BENARD NGOYA
5
PETER ANDREW MAKERE
6
BENO ANGELO MUSHONGI
7
RUAMBI MATARE KALUMBA
8
ANYAMISYE NEHEMIYA NJAVALE
9
ABEL DOTO BULALA
10
EMMANUEL CELESTINE KAGABA
11
WILSON SILAS MSABILA
12
BONIPHACE MWITA MARO
13
HENRY NKYA BARONGO
14
JOEL DISMAS MISSEA
15
YUSUPH SALUM MHANDO
SEPTEMBA 10, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
VETUS FANUEL RUYANGE
2
VICTOR MAGABE MAGAMBO
3
HASSAN  JUMA MABULA
4
CLEOPHAS JOSEPH KANUTY
5
MAISHA ALLY SALIM
6
EDWARD JOSEPH MANG'ONG'O
7
BAKARI OMARY SHARIFU
8
CHARLES JUSTINE LUBIGILI
9
GREY MUSSA SABASABA
10
LEONARD ENOCK NONI
11
HERMAN MASALU BUCHEYE
12
GERVAS MWITA CHACHA
13
HEMED ABDU OMARY
14
KIZITO PHILIP BUJIKU
15
BARAKA YABOI MASOUD
16
PASCHAL ALLY ATHUMANI
17
DEONATUS COSMAS MKAMBA
SEPTEMBA 12, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
NA.
JINA LA MFANYAKAZI
01
HASHIM MOHAMED KADU
02
MAULID RAMADHAN MTETE
03
JOSEPHAT SOSPETER CHACHA
04
SALIMUS MIMBI STEPHEN
05
WILLIAM DAUD MOSHA
06
BENSON FIKIRINI KOCHO
07
DAVID DAMAS MAJULA
08
JUMA MASOUD NKALANGO
09
ATILIO ANTONY MVIKULE
10
NKWABI ALEXANDER NANGALE
11
ERICK ALLAN MASINDI
12
JUMANNE  MANGA ISSA
13
ISSA YAHAYA BAKARI
14
CLEMENT CHUMA YANGE
15
BARAKA JOSEPH MWANDAMBO
SEPTEMBA 13, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
MWITA CHARLES NYABAIGA
2
BENEDICT BUKURU
3
DAMAS EDWARD KOMOLE
4
RICHARD MALUGU MAMBOLEO
5
MFAUME OMARI KAPINGA
6
JOHNSON MUGASHA KAZOBA
7
WILSON MAYUNGA NYANGAKA
8
JUMA MOHAMED KIHIGA
9
GENGA ALEXANDER MTANI
10
ERICK SAMWEL SANGASA
11
JANE NTABAGI SYLIVESTER
12
MARTIN OONDO MANYAULLA
13
GERVAS MWITA CHACHA
14
SAID SILAS WANGA
15
JOHN CHARLES MATANGA
SEPTEMBA 14, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
SAMWEL NYANGOKO CHACHA
2
AMOS ELIAS MBAGA
3
JUMA E. CHEMO
4
LAMECK KINGA MWANDU
5
STEPHEN MKUMBA VICENT
6
HUSSEIN SWALEHE MLEKWA
7
SALES CARLOS MLAMKUMBI
8
PHILBERT CHARLES PIUS
9
MAJULA BROWN MAGOTI
10
MSEKENI SWALEHE JUMA
11
HASSAN JUMA KAPANDE
12
MUSLIM MOHAMED SWALEHE
13
GODFREY RAFAEL KAZIMOTO
14
METHOD SINYANYANGWE PAUL
15
BULTON LUKALI GREEN
SEPTEMBA 15, 2016(MUDA SAA 3: 00 ASUBUHI)
1
MATOKE GAMA MALIMA
2
HAMID KHAMIS SALUM
3
SHABANI RAMADHANI KAPERA
4
INNOCENT BLTAZARY KILAWE
5
CHRISTOPHER RUGARABAMU KAJUNA
 

No comments: