Friday, August 5, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Prof Makame Mbarawa, amewaagiza Sumatra na jeshi la polisi kuwadhibiti na kuwachukulia hatua madereva walevi;https://youtu.be/hz-oet7WKVc

SIMU.TV: Kamishna  wa jeshi la zima moto nchini Thobias Andengenje amesema, ufinyu wa bajeti ni sababu moja wapo inayosababisha utendaji mbovu wa jeshi lake;https://youtu.be/c3AyKIYcSMM

SIMU.TV: Idara ya uhamiaji jijini Dar Es salaam, inawashikilia raia wawili wa kigeni kutoka Congo DRC na Malawi kwa kufanya kazi nchini bila kuwa na kibali;https://youtu.be/QDlh2bauwV0

SIMU.TV: Baadhi ya wakimbizi wa Burundi na Congo wanaohifadhiwa katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma wamewaasa watanzania kuepuka kabisa na vitendo vinavyoweza kuhatarisha amani ya nchi; https://youtu.be/bu0xWjsp-jA

 SIMU.TV: Mwanasheria mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Tundu Antipas lisu amepandishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka ya uchochezi yanayomkabili. https://youtu.be/fWCADhszOeI

SIMU.TV: Naibu waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto amekanusha taarifa zilizozagaa kuhusu wakinamama waliojifungua watoto njiti kulazwa chini katika hospitali ya Mwananyamala. https://youtu.be/_PzDqAAie7k

SIMU.TV: Wanafunzi wanaosoma mchepuo wa masomo ya bima katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM wanatarajia kunufaika na mafunzo ya kumudu soko la ushindani wa bima kimataifa. https://youtu.be/kIZPcGEDUPU

SIMU.TV: Serikali wilayani Tarime mkoani Mara imemsimamisha kazi mkuu wa chuo cha maendeleo ya jamii FDC kutokana na matumizi mabaya ya fedha.https://youtu.be/nmX_Z7IGx_c

SIMU.TV: Naibu wazir ofisi ya makamu wa rais muungano na mazingira amelipa wiki mbili shirika la maji safi na maji taka DAWACO kukarabati bomba la maji taka lililopasuka.https://youtu.be/gEducvQQTD0

SIMU.TV: Wakulima wa zao la chai wa kijiji cha Ilongilo wilayani Njombe wameiomba serikali kuwaboreshea miundo mbinu ya barabara ili waweze kukifikia kiwanda cha zao hilo kwa urahisi. https://youtu.be/Z2eiOTwjgvQ

SIMU.TV: Zaidi ya vijana 50 kutoka maeneo mbalimbali nchini wanatarajiwa kushiriki mafunzo ya ujasiriamali jijini Dar es Salaam yatakayotolewa na taasisis ya Icharity Club.https://youtu.be/vpoTDtFAgTY

SIMU.TV: Waendesha bodaboda na bajaji katika eneo la ukonga jijini Dar es Salaam wameaswa kujiunga na vikundi mbalimbali vya ujasiriamali ili waweze kupata mikopo.https://youtu.be/ute91S2kgSg

SIMU.TV: Klabu ya Yanga inatarajia kufanya mkutano mkuu wa dharura kwa wanachama wake hapo kesho, ili kujadili mambo mabalimbali yanayohusu klabu hiyo.https://youtu.be/I3DQuqBhcPM

SIMU.TV: Mashindano ya Gofu ya Moshi open yanatarajiwa kuanza hapo kesho huku yakishirikisha timu mbalimbali za Gofu. https://youtu.be/gozg1iCx08M

SIMU.TV: Mwanamuzi wa Zimbabwe Oliver Mutukuzi na wengine kutoka nchi za Afrika mashariki wanatarajiwa kushiriki katika tamasha la East Africa Vibes litakalofanyika Bagamoyo. https://youtu.be/Kz4gus1uAUE

SIMU.TV: Kocha mkuu wa klabu ya Manchester city Pep Gardiola amesema mechi za kufuzu klabu bingwa Ulaya ni michezo muhimu kwa timu hiyo.https://youtu.be/KriZ7QC0rGE

SIMU.TV: Timu ya KRC Genk anayochezea naohodha wa timu ya Tanzania Mbwana Samatta imefanikiwa kusonga mbele kwenye mashindano ya mchujo wa kucheza Europa league. https://youtu.be/tMYih4GcAOA

SIMU.TV: Watu 3 wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Urambo mkoani Tabora katika jaribio la kutaka kuiba mali za wananchi wilayani humo;https://youtu.be/umTaDcRHb-k
SIMU.TV: Wakazi wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamelilalamikia jeshi la wananchi kwa kuchukua maeneo yao bila kuwarudishia fidia zao; https://youtu.be/RqElc9mU0wY

SIMU.TV: Mamlaka ya mapato nchini TRA imezidi kuongeza kasi katika ukusanyaji mapato baada ya kufanikiwa kukusanya Trilioni 1 kwa mwezi Julai; https://youtu.be/njxRbpR2bZ0

SIMU.TV: Mfumo mpya wa Tehama wa utoaji huduma katika masoko ya hisa unatarajia kuanza kutumika katika masoko yote ya hisa katika nchi za Afrika mashariki;https://youtu.be/2T66cXJCTbk

SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Temeke amezitaka kampuni zote zilizopewa kazi ya kutengeneza madawati zihakikishe kazi hiyo inakamilika ndani ya muda waliopangiwa;https://youtu.be/cjFP0eyvvQs   

SIMU.TV: Wakulima wa korosho wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wameiomba serikali kuwatafutia wanunuzi wa korosho ili waweze kuuza korosho zao;https://youtu.be/8rD7Y5rhlAs  
MICHEZO

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam Paul Makonda amemkabidhi ramani balozi wa China nchini Tanzania ili kuanza kwa ujenzi wa viwanja jijini hapa;https://youtu.be/VKj8Zekss8M

SIMU.TV: Timu ya netiboli ya uhamiaji imeendelea na mazoezi yake ili kujiweka fiti kuelekea katika mashindano ya netiboli taifa mkoani Morogoro;https://youtu.be/Ahh6mM5Sh-w

SIMU.TV: Wanachama wa klabu ya Yanga kesho wanatarajia kufanya mkutano wa dharura kuweza kujadili masuala kadhaa ya klabu hiyo ikiwa na pamoja na suala la Mabadiliko;https://youtu.be/aRJrh3L4j3s

No comments: