Waziri
Mkuu wa India Narendra Modi akipungia mkono vikundi vya utamaduni vilivyokuwa
vikitoa buradani katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili nchini.
Waziri
Mkuu wa India Narendra Modi akiwa na watoto wa Kitanzania wenye asili ya
kihindi kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni
wake Waziri Mkuu wa India Narendra Modi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa India Narendra Modi akishukuru kabla ya kuondoka baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili
nchini. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment