ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waumini wa dini ya Kiislam wakiwa katika swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye msikiti wa Ijumaa,mjini Tanga leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mh.January Makamba na waumini wengine wakifuatilia Mawaidha mara baada ya Swala
Mh.January Makamba Akepeana mkono wa Iddi na Baadhi ya Wauumini waliokuwepo msikiti baada ya Ibada.
Mh.January Makamba Akipiga picha ya ukumbusho baada ya swala ya Eid El Fitr iliyoswaliwa kwenye msikiti wa Ijumaa,mjini Tanga leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
No comments:
Post a Comment