Wednesday, July 6, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA BARAZA LA EID EL FITRI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikhe Aboubakar Zubeir wakati alipowasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid El fitri lililofanyika katika viwanja hivyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Sheikhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum mara baada ya kuwasili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid Elfitri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir pamoja na Waziri Mkuu Kassim majaliwa wakati walipokuwa wakisiliza ujumbe wa Kaswida katika baraza la Eid Elfitri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Baraza la Eid Elfitri.
Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir akimshukuru Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kuhutubia katika Baraza hilo.
Waumini wa dini ya kiislamu wakifatilia kaswida iliyokuwa ikiimbwa katika viwanja hivyo vya Karimjee.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika baraza hilo la Eid Elfitri.
Baadhi ya viongozi mbalimbali wakifatilia hotuba hiyo ya mgeni rasmi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akaiomba dua pamoja na Mufti Mkuu Sheikhe Aboubakar Zubeir.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu mara baada ya kumaliza kuhutubia katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam. 
 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na mtoto Asma Maulid baada ya kuhubia Baraza la Iddi kwenye  ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria  Baraza la Iddi alilolihutubia kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Julai 6,2016
PICHA NA IKULU

No comments: