Friday, July 29, 2016

WANANCHI WA MIKOA YA TANZANIA WAJITOKEZA KUSHINDANIA GARI LA WHITEDENT

Wananchi wa Mbeya- Mbalizi, Shinyanga, - Stand Mpya,  Mwanza, Tanganyika Bus Stand, Moshi- Bus Stand na Soko Kibolon na Dar Es Salaam- Mbagala Kuu wamejitokeza kwa wingi kushuhudia na kujaza Fomu za kushindania shindano linaloendeshwa na Whitedent.
Wananchi wa mikoa ya  Mbeya, Mwanza, Moshi Watu wakijiandikisha kushinda moja ya magari yatakayotolewa kwa mshindi wa shindano la Whitedent.
 Baadhi ya Wananchi wa kijaza fomu kwaajili ya kushindania shindano linalochezeshwa na kampuni inayozalisha bidhaa za Meno ya Whitedent nchi nzima.
 Wakazi Mkoani Shinyanga wakishuhudia moja ya magari yatakayotolewa kwa mshindi la shindano la Whitedent. Katika msafara wa magari hayo unaozunguka nchi nzima, kama sehemu ya kusherehekea miaka 25 ya bidhaa hiyo katika utoaji huduma nchini.

 Watu mbalimbali wamejitokea kuzaja fomu kwaajili ya shindano la pata kosea linaloendeshwa na kampuni ya chemicotex inayotengeneza idhaa za meno katika mikoa yote ya Tanzania ya Whitedent.
 Baadhi ya Wananchi wa kijaza fomu kwaajili ya kushindania shindano linalochezeshwa na kampuni inayozalisha bidhaa za Meno ya Whitedent nchi nzima.

No comments: