Monday, July 4, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Aliyekua waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga amepongeza juhudi anazofanya rais Dr. John Magufuli kuhakikisha Tanzania inasonga mbele kimaendeleo.https://youtu.be/jWYCmIC_xfY

SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani Morogoro likishirikiana na Jeshi la wananchi wa Tanzania wamefanikiwa kulipua bomu lilopatikana nyumbani kwa mkazi mmoja aliyekua hajui kama ni bomu. https://youtu.be/x2VuVVUb9BI

SIMU.TV: Wananchi kutoka vijiji vya Ngongongare na Kawawa wilayani Arumeru wamelalamikia usimamizi Mbovu wa mradi wa maji ambao fedha za mradi huo hazikuwekwa wazi. https://youtu.be/BWIDd1cyTHE

SIMU.TV: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itajenga bandari kavu ambazo zitaweza kuondoa tatizo sugu la kujaa kwa makontena bandarini. https://youtu.be/f0yfYOfdy98

SIMU.TV: Baadhi ya vijana kutoka wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamebuni mtambo wa kufua umeme kwa kutumia pumba za mchele na magunzi ya mahindi.https://youtu.be/TDb7E_00iI0

SIMU.TV: Baadhi ya wafugaji mkoani Simiyu wamevuna mifugo yao na kuchangia zoezi la kumaliza uhaba wa madawati mkoani humo. https://youtu.be/Kb3K3k0HAvc

SIMU.TV: Idadi ya kampuni za ununuzi na ugavi zilizosajiliwa na bodi ya ugavi nchini PSTPB zimeongezeka kwa kiwango kikubwa. https://youtu.be/FvU1GD8xgcM

SIMU.TV: Mke wa rais mtaafu Mama Salma kikwete amewataka wajasiriamali kuzalisha bidhaa zenye ubora ili waweze kupata soko la uhakika. https://youtu.be/kGapcX9Wpy4

SIMU.TV: Ndoto za mabondia wa Tanzania kushiriki mashindano ya Olimpiki imeyeyuka baada ya kushindwa kumudu gharama za kushiriki mashindano ya mchujo huko Venezuela. https://youtu.be/MV-9osuULuE

SIMU.TV: Wazazi na walezi wameaswa kuwazuia watoto wenye umri chini ya miaka 18 kushiriki michezo ya kubahatisha. https://youtu.be/Lu-fjzMcFpc

SIMU.TV: Makampuni na taasisi zimeombwa kujitokeza kudhamini shindano la klabu raha leo inayoendeshwa na TBC. https://youtu.be/E-4rwhrTGWI

SIMU.TV: Timu za Mchikichini na Tabata zinatarajia kushiriki ufunguzi wa mashindano ya kombe la Shambalai itakayofanyika katika  wilaya ya Lushoto.https://youtu.be/lqGaM7fj6dc

SIMU.TV: Kituo cha kulea watoto yatima cha AL Madina kimepokea msaada wa vyakula na vifaa vingine kutoka kwa kampuni ya DSTV. https://youtu.be/m2GjzJgRGPk

SIMU.TV: Ufaransa jana usiku ilitinga nusu fainali ya michuano ya EURO kwa kishindo baada ya kuichakaza Iceland kwa mabao manne kwa mbili.https://youtu.be/_psqYVuwVbs

SIMU.TV: Watu 29 wamefariki dunia katika ajali ya basi iliyohusisha mabasi mawili ya kampuni moja ya City Boy wilayani Manyoni mkoani Singida;https://youtu.be/L3S5lN5Lj7c

SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa amevitaka vyombo husika nchini kuwachukulia hatua kali wale wote wanaohusika na biashara haramu ya madangulo na uvutaji wa shisha; https://youtu.be/i3nYoLr7zEw

SIMU.TV: Wakuu wa wilaya wateule wa mkoa wa Dar es salaam wameapishwa hii jijini hapa na mkuu wa mkoa huo Paul Makonda huku akiwataka kufanya kazi kweli kweli;https://youtu.be/Fz0N2CTnxYo

SIMU.TV: Katika kuelekea sikukuu ya Eid Elfitri, bei za bidhaa mbalimbali jijini Dar es salaam zimeonekana kushuka tofauti na ilivyokuwa miaka kadhaa ya nyuma;https://youtu.be/Nf0ldO4AOTo

SIMU.TV: Serikali kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Agape mkoani Shinyanga, limepanga kushirikiana kuwadhibiti wale wote wanaowapa mimba wanafunzi;https://youtu.be/lQrtZMHprlw

SIMU.TV: Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imesogeza tena mbele kwa mara nyingine kesi inayomkabili raia wa China kwa tuhuma za usafirishaji wa meno ya Tembo;https://youtu.be/0UcXsEHn_fo

SIMU.TV: Shirika la kuhudumia viwanda vidogo nchini SIDO limewataka watanzania kutengeneza bidhaa bora ili kujitengenezea soko la uhakika;https://youtu.be/jRJ208OW43c

SIMU.TV: Shirika la viwango nchini TBS limewatahadharisha watumiaji wa vyombo vya usafiri kuwa makini na vilainishi wanavyotumia baada ya kufanya ukaguzi wa kushtukiza na kukuta vilainishi vingi chini ya kiwango; https://youtu.be/wA69v5epSXA

SIMU.TV: TANAPA wametakiwa kuimarisha uhifadhi ili kupunguza kasi ya ujangili nchini na kukuza huduma ya utalii hususani kusini mwa Tanzania; https://youtu.be/007b9hHjZEg

SIMU.TV: Wadau mkoani Mbeya waanzisha programu kutafuta vipaji mkoani humo ili kuirudisha Tukuyu Stars iliyowahi kushiriki ligi kuu Tanzania bara;https://youtu.be/7isjhgpid5s

SIMU.TV: Mwalimu wa mpira wa kikapu nchini Bahati Mgunda ametoa wito kwa wazazi kuwaruhusu watoto wao kushiriki mchezo unaoweza kubadilisha maisha yao;https://youtu.be/CnUlIREJWN4

SIMU.TV: Kocha mkuu wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola ametambulishwa rasmi hapo jana mbele ya maelfu ya mashabiki wa klabu hiyo huku mwenyewe Pep akiahidi kuandika historia akiwa klabuni hapo; https://youtu.be/fOf-dNku-EE

No comments: