1.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpokea Waziri Mkuu wa India Narendra
Modi katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa amesimama na mgeni wake Waziri
Mkuu wa India Narendra Modi wakati wa nyimbo za Taifa
zikipigwa kabla ya ukaguzi wa gwaride la heshima katika viwanja
vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akikagua
gwaride la Heshima katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimtambulisha Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa India
Narendra Modi wakati wakiwasili kwenye lango kuu la Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipiga ngoma pamoja na mgeni wake
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiongoza mazungumzo ya pamoja na
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi pamoja na ujumbe wake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi
akizungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu wa India Narendra
Modi mara baada ya kumaliza kuzungumza na Wanahabari kutoka
ndani nje ya Tanzania Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment