Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mrishom Mpoto, (kushoto), akimuhudumia mwanachama huyu aliyefika banda la Mfuko huo lililoko jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016 ambako kunafanyika maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam. Mfuko huo umezidi kujizolea wanachama wapya na hivyo kuongeza idadi ya wachangiaji. (PICHA NA K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
Joseph
Lyimo, (kushoto), Afisa Mkuu wa Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akimkabidhi
kadi ya uanachama mwanachama Gilbert Nsumba, kwenye banda la Mfuko huo wakati
wa maonyesho ya 40 ya biashara ya
kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Julai 5, 2016
Afisa
Operesheni Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kitengo cha ulipaji mafao, Murwa
Clara Kihore, (kulia), akiwapa maeelzo wanachama hawa wa PSPF Maafisa wa polisi,
kuhusu masuala yahu uchangiaji na michango kwenye Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye
banda la Mfuko huo kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jingo la Wizara ya Fedha
na Mipango Julai 5, 2016
Afisa
Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Catherine Salema, akimkabidhi kadi ya
uanachama wa Mfuko huo kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS), Mtashobya E
Mukebezi, kwenye banda la Mfuko huo wakati wa maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam,
viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016
Lupakisye
Mwaipungu, (kushoto), Afisa Kumbukumbu wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, aimkabidh kadi
ya uanachama wa Mfuko huo kupitia mpango wa PSS, Paulo Elisa Kiombo kwenye
banda la Mfuko huo wakati wa maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam,
viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016
Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, (waliokaa wapili kulia), akimsikiliza mwanachama huyu aliyetembelea banda la PSPF wakati balozi huyo alipofika kuwapiga kukipiga "tafu" kikosi kazi cha PSPF kilichoweka kambi kwenye maonyesho hayo Julai 5, 2016
Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, akizungumza kwenye mkusanyiko wa uhamasishaji wananchi kujiunga na PSPF kwenye maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Abdul Njaidi, (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkusanyiko wa kuhamasisha umma kujiunga na Mfuko huo kwenye maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Julai 5, 2016
Hadji Jamadari, Afisa Mkuu wa Operesheni wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kiongoza kikundi cha wasanii maarufu Banana Zoro (aliyepanda farasi) na balozi wa Mfuko huo Mrisho Mpoto kuelekea eneo la kuhamasisha umma kujiunga na Mfuko huo Julai 5, 2016
Msanii wa kikundi cha Mjomba kinachomolikiwa na Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto akifanya vitu vyake wakati wa kuhamasisha umma kujiunga na Mfuko huo
Afisa
Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Catherine Salema, akimpatia maelezo
mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko huo Julai 5, 2016
Afisa wa PSPF, Penzila Kaisi, (kushoto), akimpatia maelezo ya ufafanuazi kuhusu shughuli zzitolewazo na Mfuko huo kwa mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko lililoko kwenye jengo la wizara ya fedha na mipango Julai 5, 2016
Meneja wa Mpango wa uchangiaji wa Hiari (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwanzaa Sembe (Kushoto), akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo, mwanachama mpya kupitia mpango wa PSS kwenye mkusanyiko wa kuhamasisha umma kujiunga na mpango huo kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimartaifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Julai 5, 2016
Wananchi waliofurika kwenye mkusanyiko wa kuhamasisha umma kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari, wakijaza fomu kujiunga na mpango huo kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016

Afisa Mkuu wa Operesheni wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye mpango wa uchangiaji wa hiari wa PSS, Hadji Hamis Jamadari Ialiyekaa, akimuhudumia mwananchi aliyefika banda la Mfuko huo |
No comments:
Post a Comment