Mtaalam kutoka Idara
ya Nishati, Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Marwa Petro (kushoto)
akielezea majukumu ya Wizara mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na
Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (wa pili kutoka kulia,
mbele) mara Naibu Katibu Mkuu alipotembelea banda la Wizara kwenye Maonesho
ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo,
(kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye banda la
Wizara ya Nishati na Madini. Kulia ni
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
Serikalini wa Wizara, Asteria Muhozya.
Mtaalam kutoka
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) Mhandisi Musa Chowo (kushoto) akieleza gridi
ya Taifa inavyofanya kazi kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini
anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo ( wa pili kutoka kushoto)
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo
(kushoto) akisalimiana na Afisa Mahusiano wa Kampuni ya Uendelezaji wa
Jotoardhi Nchini (TGDC), Rose Kundecha (kulia) mara baada ya kuwasili katika
banda hilo.
Mtaalam kutoka Wakala
wa Jiolojia Tanzania (GST) Mhandisi Uchenjuaji Madini, Priscus Kaspana (kulia)
akielezea shughuli za wakala huo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na
Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo ( wa kwanza kushoto)
Mtaalam kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA)
Mhandisi Yisambi Shiwa (kulia) akieleza jinsi
shughuli za ukaguzi wa madini zinavyofanyika nchini kwa Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana
Pallangyo ( wa kwanza kushoto) mara alipotembelea banda la TMAA.
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo
(kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika banda
la Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo
(wa kwanza kulia) akisalimiana na sehemu ya washiriki (kushoto)kutoka katika
mgodi wa STAMIGOLD unaomilikiwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)
Washiriki kutoka
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakionesha jinsi shughuli ya uokozi inavyofanyika pindi
panapotokea ajali mgodini.
Washiriki kutoka
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakionesha jinsi shughuli ya uokozi inavyofanyika pindi
panapotokea ajali mgodini.
Washiriki kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakionesha jinsi shughuli ya uokozi inavyofanyika pindi panapotokea ajali mgodini.
Afisa Uhusiano wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Neema
Mbuja (kushoto) akielezea shughuli zinazofanywa na Kitengo cha Dharura cha
shirika hilo kwa Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo
(kulia)
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo
(katikati) akioneshwa jinsi majiko yanayotumia nishati mbadala yanavyofanya kazi na Afisa Masoko kutoka Kampuni ya Envotec Services Limited Salama
Sudi (kulia) ambao ni mdau wa Wakala wa Nishati
Vijijini (REA)
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo
(kushoto) akisalimiana na washiriki wa
maonesho kutoka Shirika la Maendeleo ya
Petroli Nchini (TPDC) mara baada ya kuwasili katika banda lake.
Mtaalam kutoka Idara ya Utawala, Shirika la Maendeleo
ya Petroli Nchini (TPDC) Sophia Damalu
(kulia) akielezea muundo na majukumu ya shirika hilo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na
Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (kushoto)
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo
(kushoto) akibadilishana mawazo na washiriki katika banda la Ujerumani mara
alipotembelea banda hilo.
Mtaalam kutoka
kampuni ya Sunset Solar kutoka Ujerumani Dkt. Olaf Fleck (kulia) akisisitiza
jambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (kushoto) aliyetembelea banda hilo.
Mtaalam kutoka
kampuni ya Mobisol, Henrik Axelsson (kushoto) akielezea shughuli zinazofanywa
na kampuni hiyo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini
anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (katikati)
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (
wa pili kutoka kulia mbele) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa
kampuni ya Mobisol kutoka Ujerumani mara baada ya kutembelea banda hilo.
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo
(kushoto) akisalimiana na msimamizi wa banda la Ujerumani Gunther Endres (kulia) mara baada ya kuwasili
katika banda hilo.
Mtaalam kutoka Idara
ya Nishati, Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Marwa Petro (kushoto) akitoa
maelezo kwa Mtendaji Mkuu kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA)
Mhandisi Dominic Rwekaza (kulia) mara
alipotembelea banda hilo.
No comments:
Post a Comment