Friday, July 8, 2016

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB DKT. CHARLES KIMEI ATEMBELEA BANDA LA PROPERT MAONESHO YA SABASABA


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (wa pili kushoto) akiangalia moja kati ya mashine za Visima huku akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa mkuu wa Idara ya Masoko wa Kampuni ya Property International Ltd, Masoud Khalfan (wa pili kulia), wakati alipotembelea Banda la kampuni hiyo kwenye Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam (Sabasaba) Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Abdulhaleem Zahran na (kulia) ni Afisa Habari wa Kampuni hiyo Saleh Omar. Picha na Mafoto Blog
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Abdulhaleem Zahran (kushoto) akimfafanulia jambo Dkt Kimei ndani ya Banda la Property Internatioanal. Kulia ni Afisa Habari wa Kampuni hiyo Saleh Omary.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Abdulhaleem Zahran (kushoto) akimfafanulia jambo Dkt Kimei ndani ya Banda la Property Internatioanal. Kulia ni Afisa Habari wa Kampuni hiyo Saleh Omary.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Abdulhaleem Zahran (kushoto) akimunesha Dkt. Kimei, baadhi ya michori ya kazi zilizofanywa na kampuni hiyo. Kulia ni Afisa Habari wa Kampuni hiyo Saleh Omary.

Dkt. Kimei akitembezwa kujionea kazi za kampuni hiyo, ndani ya banda hilo.
''Angalia pale mheshimiwa, zile alama nyekundu''......... ni


''Si unaona kama pale mheshimiwa tumechonga hadi barabara kabisa''
Dkt. Kimei akiendelea kutembezwa ndani ya banda hilo.
Dkyt. Kimei akishika kukagua ubora wa baadhi ya 'Wall Cover'......
Afisa Mauzo kutoka Aqua Deco, Ahmed Salum, akimuonesha Dkt. Kimei baadhi ya kazi zinazofanywa na kampuni hiyo.
Jonathan, akimuonesha Dkt. Kimei Teknolojia mbadala ya kutumia maboya na waya kutengeneza Tofali 'Mega Panel'.

Dkt. Kimei akisaini Kitaabu cha wageni kabla ya kuingia katika Banda hilo.
Afisa Habari wa Kampuni hiyo, Saleh Omary, akimuonesha Dkt. Kimei baadhi ya picha za Viongozi waliotembelea Banda hilo na waliokwisha hudhuria baadhi ya kazi za Kampuni hiyo.
 

No comments: