Saturday, July 16, 2016

MAJALIWA AZINDUA DUKA LA MSD RUANGWA


 Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akizindua duka la dawa la MSD kwenye hospitali ya Wilaya ya Ruangwa akiwa katka ziara ya jimbo lake la uchaguzi Julai 16, 2016.Kushoto kwake ni mkewe Mary na  watano kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi, Ali Mtopa nakushoto kwa Waziri Mkuu ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua  duka la dawa la MSD baada ya kulizindua kwenye hospitali ya wilaya ya Ruangwa Julai 16, 2016.  Kulia kwake ni mkewe Mary.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majakipokea miguu miwili ya bandia kabla ya kuzindua duka la dawa la MSD lililokwenye hospitali ya wilaya ya Ruangwa Julai 16, 2016. Miguu hiyo imetengeezwa na kutolewa msaada Kampuni ya Kamal Steel kwa wananchi wawili wa wilaya ya Ruangwa.  Watatu kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majliwa na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi, Ali Mtopa.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuzindua  duka la dawa la MSD kwenye hospitali ya wilaya ya Ruangwa akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi Julai 16, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: