Eneo linalo hifadhi mabomba ya TANROADS yatayotumika na mkandarasi wakati wa kubadilisha mabomba ya zamani na kuweka mapya yaliyopita katika miundombinu ya barabara ya Sakina – Tengeru km 14.1 na Arusha Bypass ya km 42.4
Eneo la Sanawari sehemu yenye ujenzi wa box culvert No. 1
Eneo la Sekei sehemu yenye ujenzi wa box culvert No. 2
Ujenzi wa Daraja No. 1 la Mto Nduruma ukiwa unaendelea
Wakandarasi kutoka kampuni ya Hanil Jiangsu Joint Venture Ltd wakiwa katika hatua ya kazi ya cement modification ( CM) eneo la Shangarai
Jiwe la Msingi la Multinational Arusha – Holili/ Taveta – Voi Road Project uliozinduliwa mnamo tarehe 3 Machi 2016.
Eneo la Holili mpakani mwa Tanzania na Kenya itakapo pita ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili/ Taveta – Voi yenye kilometa ( Picha na Aisha Malima TANROADS) .
Bango la TANROADS linalo onyesha inapoanza Barabara ya Sakina – Tengeru kilometa 14.1 na Arusha Bypass (Barabara ya mchepuo) yenye kilometa 42.4
No comments:
Post a Comment