Monday, July 11, 2016

BENKI YA CRDB YAPATA TUZO YA UBORA NA UFANISI KATIKA KUTOA HUDUMA ZA KIBENKI

 Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (kulia) akimkadhi cheti Kaimu Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Fadhil Bushagama, tuzo ya mshindi wa pili katika sekta ya mabenki baada ya benki hiyo kuonyesha ubora na ufanisi katika kutoa huduma za kibenki, tuzo hiyo imetolewa na Tan Trade kwenye maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Fadhil Bushagama akipeana mkono na viongozi baada ya kupokea tuzo.
Baadhi ya washiriki wa hafla ya utoaji tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika Maonesho ya Sabasaba. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Fadhil Bushagama.

Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Fadhil Bushagama (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Benki hiyo, Kilo Mgaya (kushoto), Willy Kamwela, baada kupokea tuzo ya mshindi wa pili katika sekta ya mabenki baada ya benki hiyo kuonyesha ubora na ufanisi katika kutoa huduma za kibenki, tuzo hiyo imetolewa na Tan Trade kwenye Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.
Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela (kushoto), akiwa katika hafla  ya utoaji wa tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa.

No comments: