Thursday, June 2, 2016

UN YAISHUKURU TANZANIA KWA JUHUDI ZAKE ZA KUSAIDIA KULINDA AMANI NCHI ZINGINE


Kutoka kushoto ni Mgeni rasmi Meja Jenerali James Mwakibolwa, Mwakilishi Msaidizi Mkazi wa Shirikala Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Amon Manyama pamoja na Mkuu wa Jeshi la Akiba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Jenerali, Elias Athanas wakitoa heshima kwa wimbo wa taifa wakati wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa wa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam 31 Mei, 2016.

No comments: