Wednesday, June 29, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani Tanga limewahakikishia wakazi wa mji huo kuwa eneo la mapango ya Amboni baada ya kuwaua watuhumiwa watatu wa ujambazi;https://youtu.be/67G7vZVQXX4

SIMU.TV: Hali ya amani katika soko kuu la samaki Mwanza imetoweka baada ya wafanyabiashara kuamua kuwatembezea kipigo viongozi wa soko hilo baada ya kuchoshwa na manyanyaso; https://youtu.be/9EXF6odECko

SIMU.TV: Manispaa ya Lindi imeziokoa kaya 320 baada ya mfuko wa uwezeshaji vijijini TASAF kusaidia malipo ya awali ya afya kwa kutumia kadi; https://youtu.be/wTIfPYzb2kE

SIMU.TV: Wafanyabiashara katika soko la Kwa Doto lililoko Kigamboni jijini Dar es salaam wako hatarini kuugua magonjwa ya mlipuko baada ya kukosa sehemu za kutupa taka zao;https://youtu.be/AwkTCL2uTEA

SIMU.TV: Mtoto Wilson Jackson anahitaji wa matibabu baada ya kupata ajali ya pikipiki nyumbani kwao Mpiji Magohe jijini Dar es salaam; https://youtu.be/caj0EIqpkZo  

SIMU.TV: Viongozi wa halmashauri zote nchini wametakiwa kupeleka elimu ya ujasiliamali kwa wakulima ili kuepukana na utegemezi wa kilimo cha mvua pekee;https://youtu.be/cOUg2-TMUF0

SIMU.TV: Wadau mbalimbali wameanza kuunga mkono jitihada za kujenga Tanzania ya viwanda baada ya kuanza kuanzisha viwanda vidogo vidogo vya kuzalisha bidhaa za kilimo; https://youtu.be/g-fZWBocQS8

SIMU.TV: Shirkisho la mpira nchini TFF linaendelea kufanya tathimini juu ya uharibifu wa uwanja uliofanywa na mashabiki katika mchezo wake wa jana dhidi ya TP Mazembe;https://youtu.be/Io412qdPpco

SIMU.TVSIMU.TV: Timu ya soka ya vijana Serengeti boys inatarajia kuondoka nchini kuelekea Shelisheli kwenye mchezo wa marudiano na timu ya vijana nchini humo;https://youtu.be/ytEB-D502FA

SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani Tanga limewaua watu watatu wanaosadikiwa kuhusika na mauwaji ya watu nane katika tarafa ya Chumbageni usiku wa kuamkia Mei 31.https://youtu.be/woVOPz0YZ_o

SIMU.TV: Mahakama kuu kanda ya Arusha imetengua ubunge wa Onesmo Ole Nangole wa jimbo la Longido kwa tiketi ya CHADEMA baada ya kubaini kasoro zilizojitokeza kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana. https://youtu.be/n8bMcWXoxZM

SIMU.TV: Rais Dr John Magufuli amewaapisha wakuu wa mikoa watatu na kutoa wito kwa wakuu hao wa mikoa na wakuu wa wilaya kufanya kazi ya kuwatumikia watanzania kwa uadilifu. https://youtu.be/vzqSianIY6Y

SIMU.TV: Rais Dr John Magufuli amefanya mazungumzo na mwenyekiti wa taasisi ya BILL AND MELINDA GATES na kumuahidi serikali ya awamu ya tano itaendeleza uhusiano na taasisi hiyo. https://youtu.be/U2GqZlXoYQ8

SIMU.TV: Wafanyakazi wa kiwanda cha kuchapisha vitabu kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani wamemuomba rais kuingilia mgogoro ulipo kati yao na mwajiri wao kwa kutolipwa stahiki zao. https://youtu.be/i6Q7Jk6_Z9Y

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Tabora amewapa siku 30 watu waliovamia eneo la shule ya sekondari Tabora girls kuondoka mara moja. https://youtu.be/Mw50xtA5zEA

SIMU.TV: Baadhi ya wabunge wamesema kupitishwa kwa sheria ya manunuzi ya umma kutasaidia kupungua ubadhirifu unaotokana na manunuzi ya umma.https://youtu.be/QkerdhM5slQ

SIMU.TV: Wakala wa taifa wa utafiti wa vifaa vya ujenzi vya gharama nafuu wameiomba serikali kuwaunganisha na wananchi ili kuwapa elimu ya kutengeneza matofali ya gharama nafuu. https://youtu.be/9HpHtixL0NE

SIMU.TV: Wateja milioni moja kati ya wateja milioni moja na laki sita waliojiunga na huduma ya kibenki kwa njia ya simu za mkononi katika benki ya CRDB hawatumii huduma hiyo. https://youtu.be/YZjjDW-l1Xg

SIMU.TV: Mfuko wa hifadhi ya jamii nchini LAPF unatarajia kukamilisha ujenzi wa kituo cha mabasi cha Msavu mkoani Morogoro. https://youtu.be/PojkGovs_CM

SIMU.TV: Timu ya Serengeti boys inaondoka nchini usiku huu kuelekea nchini Shelisheli kucheza mchezo wa marudiano na timu ya vijana ya nchi hiyo.https://youtu.be/2pKbzAfPvq0

SIMU.TV: Shirikisho la soka nchini TFF limesema klabu ya Yanga itawajibika kulipa gharama za mchezo na uharibifu uliofanywa na mashabiki kwenye mchezo wake dhidi ya Tp Mazembe. https://youtu.be/HlF7rTqhOJk

SIMU.TV: Timu ya taifa ya tenisi ya wachezaji wenye ulemavu imeibuka mshindi kwenye mashindano yaliyofanyika nchini Kenya. https://youtu.be/dxBJbRt1qrA

SIMU.TV: Mashabiki wa masumbwi wa mikoa ya Morogoro na Iringa wataanza kufurahia mchezo huo baada ya mfungo mtukufu kwenye pambano la kusaka wachezaji kutoka mikoa hiyo. https://youtu.be/xZIowtxFksU  

SIMU.TV: Chama cha soka nchini Uingereza kinatarajia kumtangaza Gareth Southgates kuwa kocha wa muda wa timu ya taifa kabla ya kuanza mchakato wa kumtafuta kocha wa timu hiyo. https://youtu.be/KTaYLJSEPaM

No comments: