Wednesday, June 29, 2016

BANDA LA NSSF LAVUTIA WENGI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

 Tuzo ya Ubora wa Huduma ya ISO 9001-2008 inayotoa mwongozo wa huduma bora kwa wanachama ikiwa katika Banda la NSSF Sabasaba.  NSSF ni Mfuko wa kwanza kupata tuzo hii mwaka 2014. 
 Tuzo ilizopata NSSF katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa. 

 Baadhi ya maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja.
 Ofisa Masoko Mwandamizi, Amina Mmbaga akimsiliza mmoja wa wanachama wa NSSF.
 Ofisa Mauzo wa NSSF,Abbas Ramadhani (kushoto), akitoa maelezo kwa mmoja wa wanachama waliofika katika banda la NSSF.
 Ofisa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la hifadhi ya Jamii (NSSF), Moringe Nyerere (kushoto) akiwaonyesha watu waliofika katika banda la NSSF leo, ramani ya mradi wa viwanja vya Kiluvya vinavyouzwa  na shirika hilo, wakati wa Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
 Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirikala Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (wa pili kushoto) akigawa vibeberushi vyenye taarifa za shirika hilo kwawatu waliofika katika banda lao, wakati Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. 
Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirikala Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (kushoto) akiwakaribisha wageni katika banda la NSSF.
Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirikala Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (kulia) akitoa elimu juu ya ulipaji wa michango kwa wanachama wa hiari kwa watu waliofika katika banda lao, wakati Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. 
Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirikala Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (katikati) akiwa katika picha ya pamoja pamoja na maofisa wa NSSF.

No comments: