Friday, June 17, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

 SIMU.TV: Chama cha wananchi CUF kimetoa msimamo wake juu ya kauli ya aliyekuwa mwenyekiti wa muda mefu wa chama hicho Prof Lipumba na kumtaka aache kuvuruga utaratibu wa chama hicho; https://youtu.be/D0UoDWKEaZk

SIMU.TV: Waziri wa TAMISEMI amesema serikali imejipanga kuendeleza ujenzi wa mradi wa mabasi ya mwendokasi awamu ya pili mapema mwaka huu;https://youtu.be/wZThd5eFYxY

SIMU.TV: Serikali imeanza ujenzi wa daraja kwa wananchi wa Kigunduguru wilayani Rungwe baada ya kupata adha hiyo kwa muda mrefu; https://youtu.be/vrN9CmBq6gE

SIMU.TV: Wadau mbalimbali wameendelea kujitokeza kumaliza tatizo la madawati mkoani Dar es salaam baada ya taasisi moja isiyo ya kiserikali kukabidhi madawati 70 kwa mkuu wa mkoa; https://youtu.be/qlbh6LDgQas

SIMU.TV: Baadhi ya wafanyabiashara na watumiaji wa simu bandia nchini wametoa maoni yao juu ya kuzimwa kwa simu hizo na wengine kukejeli zoezi kwamba sio la kweli;https://youtu.be/pWPUg8MoRaY  

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imetoa jumla ya magari 40 kuelekea vijijini ili kuweza kutoa huduma kwa wateja wa mikoani juu ya mtandao huo;https://youtu.be/gjMa1816YF0

SIMU.TV: Mfuko wa taifa wa hifadhi ya jamii NSSF imeitaka jamii kuachana na mtazamo wa kuwa mfuko huo upo kwa ajili ya wafanyakazi pekee; https://youtu.be/l5PgZun9wns

SIMU.TV: Benki ya CRDB tawi la Bariadi mkoani Simiyu imekabidhi vifaa vya kufanyia katika soko la mji wa Bariadi ili kuwezesha utunzaji wa mazingira;https://youtu.be/NZmmQeyyvwQ

SIMU.TV: Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF limepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa soka mkoa wa Dar es salaam kutoka na madudu yaliyofanyika katika uchaguzi wa viongozi  wa soka Kinondoni; https://youtu.be/SqlzA-LPU3Q

SIMU.TV: Klabu marafiki ya wazee mkoani Mwanza imeandaa michuano mbalimbali inayowahusisha wazee ili kuweza kuwaondolea msongo wa mawazo;https://youtu.be/PabD53ztWUo

SIMU.TV: Kwa mara nyingine tena timu ya Cleveland Cavaliers imeharibu sherehe za ubingwa kwa Golden States Warriors baada kuwafunga Warriors kwa idadi ya vikapu 115 kwa 101; https://youtu.be/yXV6JpDdpHI

SIMU.TV: Waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage ametoa wito kwa viongozi wa serikali kuratibu usambazwaji wa sukari iliotolewa na serikali.https://youtu.be/pnMTP7lcUTw

SIMU.TV: Baadhi ya wananchi na wafanya biashara wa simu jijini Dar es Salaam wametoa maoni yao kuhusu zoezi la kuzimwa kwa simu bandia lililotekelezwa jana.https://youtu.be/vfkkhkSQXtg

SIMU.TV: Chama cha wananchi CUF kimesema ombi la aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Prof. Ibrahimu Lipumba kurejea kurejea katika nafasi yake linafanyiwa kazi na nlitatolewa ufafanuzi. https://youtu.be/cxNihe5P1JA

SIMU.TV: Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene amewataka  wananchi katika jiji la Dar es Salaam kufuata sheria na taratibu zilizowekwa katika kutunza mradi wa mabasi ya mwendo kasi. https://youtu.be/rFkS5PvStco

SIMU.TV: Mkuu wa jeshi la polisi nchini amesema jeshi la polisi lipo katika marekebisho makubwa ili kuhakikisha jeshi hilo linatoa huduma iliokamilifu kwa jamii.https://youtu.be/TdTGAZ1-z5w

SIMU.TV: Halmashauri ya Jiji la Tanga imewafungia ofisi wadaiwa sugu wa kodi za majengo ikiwemo shirika la nyumba nchini NHC na shirika la umeme TANESCO.https://youtu.be/O1_1vne9EoM

SIMU.TV: Taasisi ta sekta binafsi nchini TPSF imetilianasaini na saini ya makubalianao ya miaka mitano na shirika la CESO ambapo wataalamu kutoka Canada watatoa mafunzo kwa sekta binafsi nchini. https://youtu.be/CSGKk84i9rM

SIMU.TV: Wafanya biashara visiwani Zanzibar wametakiwa kutumia mfumo mpya wa PVOC kukagua bidhaa wanazonunua kutoka nje ya nchi ili kuingiza bidhaa bora nchini.https://youtu.be/NTDNxD2VFTk

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema atatoa ushauri kwa wafanyabiashara wa maduka jijini Dar es Salaam kuongeza muda wa kufungua maduka ili kuwapa nafasi wafanyakazi waweze SIMU.TV: kujinunuliwa mahitaji pindi wanapotoka makazini. https://youtu.be/15wVnpnMSsY

SIMU.TV: Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom imepeleka magari 40 mikoani ili kwenda kutoa elimu juu ya huduma zinazotolewa na kampuni hiyo.https://youtu.be/3KZIA7Gxy20

SIMU.TV: Benki ya Eximu kwa kushirikiana na taasisi zinazopigania haki za watoto imeandaa tamasha la mtoto wa Afrika litakalofanyika kesho.https://youtu.be/YWx5iLdYIqI

SIMU.TV: Naibu waziri wa habari sanaa na michezo amepokea msaada wa mageti yatakayo fungwa kwenye vyoo vya uwanja wa taifa kutoka kampuni ya TING.https://youtu.be/zTFcyEcvJm8

SIMU.TV: Kampuni ya Mwananchi imedhamini kwa kutoa  kiasi cha Milioni 50 kwa waandaji wa mashindano ya Ndodo cup nchini. https://youtu.be/RB1-UHLrXNg

SIMU.TV: Timu ya Italia imekua timu ya pili kufuzu hatua ya pili ya michuano ya EURO baada ya kuichapa Sweden kwa bao moja kwa bila. https://youtu.be/NZBG2NlJ6hE

No comments: