Thursday, June 16, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Serikali imewataka wazazi na walezi kuwabaini wale wote wanaowafanyia watoto vitendo vya ubakaji na ulawiti ili waweze kuchukuliwa hatua;https://youtu.be/44hc5ahMd0A

SIMU.TV: Jukwaa la katiba Tanzania JUKATA limemtaka Rais Dr. Magufuli kuwatangazia watanzania siku ya kupiga kura ya  maoni juu ya katiba mpya;https://youtu.be/_FOu5wvBxUI

SIMU.TV: Benki ya Biashara ya DCB imekabidhi kiasi cha fedha taslimu Milion 39 kwa Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene kuunga mkono jitihada za kutokomeza upungufu wa madawati nchini; https://youtu.be/tNnOsjVKy0w

SIMU.TV: Umoja wa wanafunzi waliohitimu katika shule ya Msingi Bunge mwaka 1991 wamechangia madawati kama jitihada za kuunga mkono azimio la Rais la kumaliza tatizo la madawati nchini; https://youtu.be/ZQIdd5FEYZQ

SIMU.TV: Hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano ili kuendeleza kilimo cha viazi mviringo kati ya serikali ya Tanzania na Serikali ya Uholanzi;https://youtu.be/ogMB5HqpgNU

SIMU.TV: Kiwanda cha kuzalisha sukari mkoani Kilimanjaro TPC kimejipanga kuongeza uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa asilimia 10 zaidi ukilinganisha na uzalishaji wa mwaka uliopita; https://youtu.be/nEZAPjLpW4E

SIMU.TV: Serikali mkoani Simiyu imeagiza kufanyika  msako maalumu kuwasaka wale wote wanaotumia fedha za mradi wa TASAF kwa matumizi ya Anasa;https://youtu.be/T05n1j_1BQY  

SIMU.TV: Timu ya Yanga ambayo iliweka kambi yake nchini Uturuki kwa ajili ya mchezo wa shirikisho na Mo Bejaia inatarajia kutua nchini Algeria hapo kesho;https://youtu.be/uTl0ual0NXw

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mikononi ya Tigo na taasisi ya SEMA imesherehekea siku ya mtoto wa afrika kwa kuandaa michezo mbalimbali ya watoto katika viwanja vya michezo vya Jakaya Kikwete; https://youtu.be/clZCg_glpE8

SIMU.TV: Timu ya mkoa Manyara iliyoshika nafasi ya pili katika mashindano ya riadha imewasili mkoani humo hii leo na kupokewa kifalme na wananchi mkoani humo;https://youtu.be/iVOEDCNXOlQ

SIMU.TV: Uchambuzi maalumu juu ya kiini cha mapigano kati ya mashabiki wa soka wa timu ya taifa ya Urusi na wale wa Uingereza yaliyotokea juzi jijini Marseille Ufaransa katika michuano ya Euro; https://youtu.be/c6NtWNjIRms

SIMU.TV: Tanzania imeungana na nchi nyingine barani Afrika kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika ambapo ni kumbukumbu ya watoto waliouwawa huko Soweto Afrika ya kusini.https://youtu.be/EqIVPTHl-tQ   

SIMU.TV: Baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Mkoani Shinyanga wameomba kuboreshewa mazingira ya makazi yao ambayo yanahatarisha afya zao.https://youtu.be/o8HhRpRoQFU

SIMU.TV: Rais Dr. John Pombe Magufuli amesema Tanzania ipo mbioni kufungua ofisi za ubalozi nchini Qatar ikiwa ni njia ya kuimarisha ushirikiano na Nchi hiyo.https://youtu.be/JlmHY_DvHCQ

SIMU.TV: Baadhi ya wabunge wameishauri serikali kuweka utaratibu maalumu wa kuthibiti wafanyabiashara wanaonunua mazao yakiwa shambani na kuwalangua  wakulima. https://youtu.be/oHrGZKk5Ve8

SIMU.TV: Baadhi ya wananchi mkoani Ruvuma wanaonufaika na mpango wa kunusuru Kaya maskini unaosimamiwa na TASAF wameeleza kunufaika na mpango huo.https://youtu.be/JfmRz4daVJM

SIMU.TV: Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amewahimiza viongozi wa dini mbalimbali nchini kudumisha amani na ushirikiano ili kweka maridhiano dhidi ya waumini wao. https://youtu.be/37AvuuWztpA

SIMU.TV: Soko la Tanzania limefurika bidhaa bandia kwa kiwango sawa na bidhaa halisi na hii ni kutokana na wananchi kutomudu bei ya bidhaa halisi.https://youtu.be/timUSNwqJbo

SIMU.TV: Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene amezitaka manispaa za jiji la Dar es Salaam kutenga asilimia 10 ya mapato yake kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali.https://youtu.be/W_J_1uQ6NOw

SIMU.TV: Kampuni ya soko la hisa la Dar es Salaam DSE imefanikiwa kuzalisha mtaji wa zaidi ya bilioni 35 ikiwa ni zaidi ya malengo ya soko hilo. https://youtu.be/zQNTlnHnp2U

SIMU.TV: Benki ya ushirika ya Kilimanjaro iliopo katika manispaa ya Moshi imeandaa matembezi ya hisani ya kuhimiza wakulima wa kahawa kupata elimu na maarifa ya kuweza kufikia malengo yao. https://youtu.be/wAngAb1yDV0

SIMU.TV: Kikosi cha Serengeti boys kimeendelea na mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya fainali za vijana katika bara la Afrika. https://youtu.be/Ar5ZmkYoyFc

SIMU.TV: Klabu ya Ruvu shooting imekanusha taarifa zilizosambaa kuwa klabu hiyo itanunuliwa na Mohamedi Dewji maarufu kama Mo. https://youtu.be/hNqjeTHqjrI

SIMU.TV: Wimbo wa watoto wetu unaolenga kutoa elimu kwa jamii juu ya adhabu ya viboko kwa watoto umezinduliwa leo kwenye sherehe za mtoto wa Afrika.https://youtu.be/kThRSqOvPno

SIMU.TV: Shirika linalopambana na matumizi ya madawa yakuongeza nguvu za misuli yaliyopigwa marufuku michezoni limeishutumu Urusi kwa kuwapa vitisho maafisa wake.https://youtu.be/zMUvLm0aMac

SIMU.TV: Timu ya Urusi imeendelea kuchechemea katika mashindano ya UEFA EURO baada ya kukubali kichapo cha bao moja kutoka kwa Slovakia.https://youtu.be/48m2sSxntoU

No comments: