Keki ya Siku ya Mtoto wa Afrika toka Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe Premier, la Jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe Premier, Nelwike Mwambapa, akiwasha mshumaa kuashiria uzinduzi wa sherehe za Siku ya Mtoto wa Afrika tawini hapo.
Watoto wakishangalia fash fash za maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika kwa Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe Premier, jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi kwenye sherehe hizo, ni Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, ambaye ni mteja wa CRDB Bank, Emmanuel Kawishe, akimlisha keki mmoja wa watoto waliohudhuria sherehe hiyo. Katikati ni Mkurugenzi wa Tawi hilo la Azikiwe Premier, Fabiola Mussula, na kushoto ni ofisa wa tawi hilo, Nelwike Mwambapa.
Mfanyakazi wa Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe Premier, Nelwike Mwambapa, akimlisha keki mmoja wa watoto, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika tawini hapo.
Mgeni rasmi kwenye sherehe hizo, ni Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, ambaye ni mteja wa CRDB Bank, Emmanuel Kawishe, pia alitoa zawadi mbalimbali kwa watoto hao. Kulia ni Mkurugenzi wa Tawi hilo la Azikiwe Premier, Fabiola Mussula anayepiga makofi.
Mgeni rasmi kwenye sherehe hizo, ni Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, ambaye ni mteja wa CRDB Bank, Emmanuel Kawishe, aakiklabidhi zawadi kwa mmoja wa wazazi kwa niaba ya mtoto wake. Watoto hao wote wamefunguliwa account ya watoto ya Junior Jumbo. Kulia ni Mkurugenzi wa Tawi hilo la Azikiwe Premier, Fabiola Mussula.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Mussula, akikabidhi zawadi kwa mgeni rasmi kwenye sherehe hizo siku ya Mtoto wa Afrika, ambaye ni Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, ambaye ni mteja wa CRDB Bank, Emmanuel Kawishe, kushoto ni ofisa wa tawi hilo, Nelwike Mwambapa.
Shampeni isiyo na kilevi kwa ajili ya watoto hao ilifunguliwa
Wafanyakazi wa CRDB Bank Tawi l;a Azikiwe, wakishangilia shampeni kusherehekea siku ya Mtoto wa Afrika iliyosherehekewa leo tawini hapo.
No comments:
Post a Comment