Wananchi wa Kijiji cha Nandagwa Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi
wakimlaki Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Janeth Magufuli aliwapowasili eneo hilo kwa ajili ya kutoa Msaada wa
Vyakula, Mafuta pamoja na Dawa kwa ajili ya Kambi ya Wazee ya
Nandanga iliyopo katika kijiji hicho.
Mratibu wa kambi ya Kulea wazee na watu wenye ulemavu ya Nandanga
Bw. Agnerus Chiamba akimpa maelezo Mke wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli kuhusu nyumba za malazi
katika kambi hiyo, aliwapowasili eneo hilo kwa ajili ya kutoa Msaada wa
Vyakula, Mafuta pamoja na Dawa.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Godfrey Zambi akimuonesha Mke wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli nyumba za
malazi katika Kambi ya Wazee na watu wenye ulemavu ya Nandanga
iliyopo katika kijiji hicho aliwapowasili eneo hilo kwa ajili ya kutoa
Msaada wa Vyakula, Mafuta pamoja na Dawa.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth
Magufuli akifungua kitambaa kwenye jiwe la msingi cha zahanati ya kijiji
cha Nandanga itakayorahisisha upatikanaji wa huduma ya afya kwa
wakazi wa eneo hilo waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata huduma
hiyo.
Baadhi ya Vitu vilivyotolewa kwa ajili msaada katika kambi ya kulea
Wazee na watu wenye ulemavu ya Nandanga.
Jengo la Zahanati ya Nandanga lililozinduliwa na Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
Mratibu wa kambi ya Kulea wazee na watu wenye ulemavu ya
Nandangwa Bw. Agnerus Chiamba akimkabidhi Mke wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli taarifa ya kambi ya Kulea
Wazee ya Nandanga.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Godfrey Zambi akitoa taarifa ya
utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla
ya utoaji misaada katika kambi ya kulea wazee ya Nandanga iliyopo
Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Godfrey Zambi akimkabidhi Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli taarifa ya
utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Godfrey Zambi akiwaeleza Jambo Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
(Katikati) na Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Mary Majaliwa.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth
Magufuli na Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Mary Majaliwa Wakicheza Ngoma na kikundi cha Vijana wakati wa
hafla ya utoaji misaada katika kambi ya kulea wazee ya Nandanga iliyopo
Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi.
Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Mary Majaliwa akiongea na wananchi wa Kijiji cha Nandanga na
kumshukuru Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Janeth Magufuli kwa kutoa msaada katika kambi ya Wazee na watu wenye
ulemavu iliyopo katika kijiji hicho.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth
Magufuli(kushoto) akikabidhi misaada kwa wawakilishi wa kambi ya kulea
wazee ya Nandanga iliyopo Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi, Katikati ni
Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary
Majaliwa.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth
Magufuli akiongea na wananchi wa Kijiji cha Nandanga kilichopo Wilayani
Ruangwa Mkoani Lindi na kuahidi kuendelea kusaidia kambi hizo za wazee
na watu wenye ulemavu wa ukoma ambapo mpaka sasa meshatoa msaada
katika kambi 4 katika mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Lindi na Mtwara
yenye thamani ya Takribani shilingi 250.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth
Magufuli akipokea zawadi kutoka wawakilishi wa kijiji cha Nandanga
kilichopo Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth
Magufuli akisalimiana na baadhi ya watoto waliofika katika hafla ya utoaji
misaada katika kambi ya kulea wazee ya Nandanga iliyopo Wilaya ya
Ruangwa Mkoani Lindi.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth
Magufuli akiagana na wananchi wa Kijiji cha Nandanga kilichopo Wilaya ya
Ruangwa Mkoani Lindi baada ya kutoa msaada katika kambi ya kulea
wazee ya Nandanga iliyopo eneo hilo.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
No comments:
Post a Comment