Thursday, June 23, 2016

BANKI YA BARCLAYS YAZINDUA TAWI JIPYA KATIKA JENGO LA CITY MALL JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

BENKI ya Barclays Tanzania imezindua tawi la Banki hiyo katika jeno la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed akizungumza katika uzinduzi wa Tawi la benki ya Barclays katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
 Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross akizungumza na wafanyakazi wa benki ya Barclays hapa nchini pamoja na wateja wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkuu wa kitengo cha Masoko benki ya Barclays, Joe Bendera akizungumza na wafanyakazi, wateja na waandishi wa habari wakati wa kuzindua tawi jipya la benki hiyo katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
 Kikundi cha noma kikitumbuiza katika uzinduzi wa tawi jipya katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed  na  Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross  wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa kufunguliwa tawi la benki ya Barclays katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.


  Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross  akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa juu wa benki ya Barclays hapa nchini jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo katika jengo la City Mall.
  Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross  akiwa katika picha ya pamoja na afanyakazi wa benki ya Barclays tawi la City Malll jijini Dar es Salaam leo. 
  Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross  wakisaidiana kukata keki  katika uzinduzi wa Tawi la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
  Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross  na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed  wakiwa katika picha ya pamoja walipotembelea katika kaunta za Benki ya Barclays Tawi la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa benki ya Barclays tawi la City Mall wakiwa katika picha ya pamoja jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kuzinduliwa tawi hilo.

No comments: