Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akiongea wanahabari wakati wa ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter
Muhongo akiongozana na baadhi ya viongozi wa makampuni ya mafuta wakati wa
ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter
Muhongo (wa pili mtasari wa kwanza kulia) akiongozana na baadhi ya viongozi wa
makampuni ya mafuta eneo la “Deport” ya PUMA wakati wa ziara ya kukagua matanki
ya kuhifadhia mafuta katika leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter
Muhongo akiongea na baadhi ya viongozi wa makampuni ya mafuta wakati wa ziara
ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam ili kujionea
hali ya upatikanaji wa mafuta ya ndege baada ya kugundulika baadhi ya shehena
ya mafuta hayo yaliyoingizwa nchini yalikuwa yamechanganyika na mafuta ya
petroli.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni wa Kampuni ya
Oryx Energies Godifrey Fernandes akimuonesha Waziri wa Nishati na Madini Prof.
Sospeter Muhongo baadhi ya maeneo yanapohifadhiwa mafuta wakati wa ziara ya
kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter
Muhongo akiongea na baadhi ya viongozi wa makampuni ya mafuta (hawapo pichani)
wakati wa ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es
salaam ili kujionea hali ya upatikanaji wa mafuta ya ndege baada ya kugundulika
baadhi ya shehena ya mafuta hayo yaliyoingizwa nchini yalikuwa yamechanganyika
na mafuta ya petroli.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter
Muhongo akiongea na baadhi ya madereva wanaosafirisha mafuta ndani na nje ya
nchi leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nishati na
Madini Prof. Sospeter Muhongo akiongea na baadhi ya viongozi wa makampuni ya
mafuta wakati wa ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar
es salaam eneo yalipo matanki ya mafuta ya kampuni ya GAPCO ili kujionea hali
ya upatikanaji wa mafuta ya ndege baada ya kugundulika baadhi ya shehena ya
mafuta hayo yaliyoingizwa nchini yalikuwa yamechanganyika na mafuta ya petroli. Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO
No comments:
Post a Comment