Thursday, May 19, 2016

Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni Dodoma leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na  baadhi ya wageni waliomtembelea mjini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na wawekezaji wa Mchuchuma

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bukoba Mjini Wilfred Rwakatare kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Kiongozi wa upinzani bungeni  Freeman Mbowe , mjini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga kwenye viwanja vya bunge jini Dodoma Mei 19 , 2016. Wapli kushoto  ni Waziri wa Ardhi,, nyumba  na Maendeleo ya Makazi,, William Lukuvi na watatu kushoto ni Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 
 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo akiwasilisha Makadirio ya Matumizi ya wizara hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na wageni mjini Dodoma

No comments: