Thursday, May 19, 2016

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA LEO

 Naibu Waziri wa Tamisemi, Seleman Jaffo akijadiliana jambo na Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete kwenye viwanja vya Bunge, mjni Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Waziri Mkuu akijibu maswali ya wabunge , bungeni mjini Dodoma
 wabunge wakijadiliana jambo bungeni

 Wageni wakifuatia mwenendo wa Bunge
 Mbunge wa Jimbo la Ilemela,Anjelina   akijibu swali
 Spika wa Bunge akitoa pole kwa familia za waumini waliouwa msikiti jijini Mwanza na watu wasiojulikana waliokuwa wamevalia kininja
 Waziri Mkuu, Majaliwa kaizungumza na mmoja wa wabunge
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiwasilisha hotuba ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo.





 Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Ali Keisy akichangia majadiliano ya makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, bungeni Dodoma , ambapo aliutwatuhumu wapinzania wanaomsema vibaya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

 Mbunge wa Ulanga, Goodluck Ulanga  (kulia), akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwa na wanafunzi waliotembelea Bunge
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akichangia hoja wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini
Mbunge wa Mvomero, Sadick Murad akichangia hoja bungeni
 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhomgo(katikati) akibadilishana mawazo jana mjini Dodoma na baadhi ya wananchi na wabunge waliofika Bunge waliofika leo mjini Dodoma kusikiliza hotuba ya makadirio ya matumizi ya fedha ya Wizara yake kwa mwaka ujao wa fedha.
 Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai (kushoto), Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphael Chegeni(katikati) na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo mara baada ya mapumziko ya mchana jana mjini Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari(katikati)  na Mbeya Mjini Mhe. Joseph  Mbilinyi(kulia) mara baada ya mapumziko ya mchana ya wabunge mjini Dodoma.

No comments: